Jamani mbona kama hamna taarifa ...

Huyu Dada namfahamu vizuri sana. Ana shepu yake nzuri sana ya kibantu.
Hapo ni namna tuu picha ilivyotoka ila kwa shape yake ninayoijua hapo hamna kigodoro. Wanaozusha huwa wamemjulia kwenye mtandao tuu. Na ni kwanini ni kwenye picha hiyo moja tuu.?

Hivi ina maana Mc hakuaga na mwanamke alipokua Mwalimu?? Na huyo dada hakua na bwana?? Kama alimuumiza dada wa watu aliekua nae akiwa Mwalimu nae ataumizwa tu.
 
Huyo mwanamke kwa apperiance yake hata kwa pesa au mtutu wa bunduki siendi naye Kanisani au Msikitini eti naenda kumfanya mke wangu.

Hao miezi sita mingi washavurugana na hivi anajua huyo bwana alimwaga chozi siku alipomposa basi atakoma.
 
Back
Top Bottom