Jamani mbona kama hamna taarifa ...

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
6,476
11,627
Mc wa taifa leo anaoa..juzi ndo ilikua send off
Harusi ya taifa,uwanja wa taifa
Ila taifa lina mambo mengi saaana hadi mengine hayakumbukwi!

Hongera mc pilipili..Mungu aisimamie ndoa yako ijae baraka tele na furaha tele!
IMG_20190629_073145_985.JPG
IMG_20190629_073145_985.JPG
 
Mc wa taifa leo anaoa..juzi ndo ilikua send off
Harusi ya taifa,uwanja wa taifa
Ila taifa lina mambo mengi saaana hadi mengine hayakumbukwi!

Nyongeza:wakina Dada wenzangu,tujikubali na appearance zetu,hasa kwa upande wa huku chini!
Na ukiwa umevutwa zaidi kuongeza vikorombwezo kwa ndani plz kua makini,vinaweza kukufanya kituko mbele ya watu.havitabiriki.

Hongera mc pilipili..Mungu aisimamie ndoa yako ijae baraka tele na furaha tele!
View attachment 1141663View attachment 1141664
Kuna jamaa aliwah shauri usife siku ambayo mtu maarufu dunian kafa....... Hakuna mtu atasikitika kufa kwako. Hongera pilipili
 
Huyu Dada namfahamu vizuri sana. Ana shepu yake nzuri sana ya kibantu.
Hapo ni namna tuu picha ilivyotoka ila kwa shape yake ninayoijua hapo hamna kigodoro. Wanaozusha huwa wamemjulia kwenye mtandao tuu. Na ni kwanini ni kwenye picha hiyo moja tuu.?
 
Mwenzangu mi sijui.kila..ila wengi wanasema waliyashuhudia hayo mabonde na milima
Huyu Dada namfahamu vizuri sana. Ana shepu yake nzuri sana ya kibantu.
Hapo ni namna tuu picha ilivyotoka ila kwa shape yake ninayoijua hapo hamna kigodoro. Wanaozusha huwa wamemjulia kwenye mtandao tuu. Na ni kwanini ni kwenye picha hiyo moja tuu.?
 
Shemeji yetu KAJALADIA! Ila mpiga picha kajitahidi kunogesha. Its quite strange kila msichana wa kibongo akipiga picha hutokea 'mweupe pee'. Ila ukikutana naye, utachokwa mwenyewe. Mfano huyu Cute Mena, am sure hii sio rangi yake kabisa. Ni mweusi tii!
 
Huyu Dada namfahamu vizuri sana. Ana shepu yake nzuri sana ya kibantu.
Hapo ni namna tuu picha ilivyotoka ila kwa shape yake ninayoijua hapo hamna kigodoro. Wanaozusha huwa wamemjulia kwenye mtandao tuu. Na ni kwanini ni kwenye picha hiyo moja tuu.?
Wanasema zipi imekaa vby,inawezekana,mbona ana umbile lake zuri sidhani km anaweza kufanya huo upuuzi wanaosema
 
Basi watu wamemkomalia wee kigodoro
Nguo nyingi za kushona za kubana, na ambazo zipu yake ipo nyuma + material ya nguo ni kawaida sana kuwa na kupinda au kutuna kwa nyuma, hususani kama ulikuwa umekaa halafu ukasimama dia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom