Jamani mbona kama hamna taarifa ...

Wabovuu vibaya mnooo!kama wale kina lulu nation kujifanya walikua wanaponda watu wenyewe sura kama hovyooo sasa hivi hachambi tena,yule carry nae wa hovyooo kichizi,yule cpffe table sasa wa kawaida sana!
huyo Lulu nation nilishindwa vumilia nikamuambia dada mbona mbovu sana halafu kutwa kusema watu.? Halafu una njaa sana kwanini usikae huo muda ukawa unatafuta hela ujikwamue kiuchumi uwiiii nilishushuliwa ikafuatwa block
 
Hahaaa...!!!!!!wanapiga bloku balaaa... Umemuina katibu wa wambea alivyo wa ajabu!!sijapata onaa
 
Back
Top Bottom