Jamani lugha yetu wenyewe, tuvalishwe vibao!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani lugha yetu wenyewe, tuvalishwe vibao!!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by IPILIMO, Oct 29, 2012.

 1. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,602
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  Wakuu, mimi nina utata kuhusu lugha yetu, mnisaidie mantiki yake. Kuna taratibu mbalimbali ktk shule mbalimbali hapa nchini ambapo mwanafunzi analazimika koutumia lugha ya kiingereza hata kama kwa shida. Asiye ongea kiingereza na akaongea kiswahili atavishwa kengele au kijibao chenye maneno ya maudhi kama " Shame you", " I am stupid by talking swahili" JAMANI lugha yetu wenyewe tunajipa adhabu!!!! kuna shule fulani mwanafunzi akiongea kiswahili anakula bakola si mchezo, jee hii ni sahihi?
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni utaratibu tuliojiwekea baada ya kugundua kuwa watoto hawapendi kiingereza. Ndiyo, kiinglishi siyo lugha yetu lakini hatuna jinsi. Maana bila kujua lugha hii hasa wakati huu wa utandawazi imekula kwako. Heri tuvalishane vibao watoto wetu waijue lugha hii ili waweze kupambana kwa stahiki katika soko la ajira la dunia ya sasa. Ni ushauri na mtazamo tu.
   
 3. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni ujinga,sio sahihi hata kidogo
   
 4. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,434
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Sio ujinga ni sahihi kabisa, bila hivyo yatakuwa yaleyale ya kina mulugo.
   
Loading...