mkuu Mimi nina akili zangu bwana.nakuuliza ccm miaka 50
lowasa serikalini miaka 35
ulizia amefanya nini ambacho unakiona kila kona ya nchi hii,
labda kama wewe ndo unatangaza mshindi saw lakini kama serikali ndo inatangza jiandae kupunzika kwenu,ili magufuli ampeleke lowasa na sumaye mahakamani,
vijiji vya wapi mkuu labda ya moshi na arusha ,nenda nyanda za juu kusini ,njoo kanda ya ziwa vijijini uone,unachekesha wewe,
atawasaidi kuongeza wabunge lakini amiri jeshi mkuu atasoma kwenye vyombo vya habari tu,
Nabii Mussa hakuwa fisadi
nenda sengerema kijiji kinaitwa irunda kingine ngoma usikie habari yao, mafuriko ya lowassa hayazuiliki baba,ana nyota ya ajabu.
gwajima akifa leo lowas hakuna atakaye tamani hata kumuona,
ccm itaindoka kama alivyoondoka firauniiiiiiiii#raislowassa#
nyota ya wapi misukule ya gwajima ndo inamsaidia ,kipi alichonacho maana hata kuongea anazidiwa na mtoto wa form one.
ukiona giza limekuwa kubwa bac tambua pamekalibia kucha!
nyota ipi huyo majini ya gwajima yanamsaidi mimi nachokwambia pamoja na yote hayo hata iweje magufuli ndo rais ,kama unabisha note id yangu tarehe 29 ,oct nitafute,
kesha kwenye mitandao adi asubuhi lakini haiasaidi,
hana nyota yoyote gwajima ndo anamsaidia lakini tutaomba usiku na mchana rais anaetengemea miujiza ya gwajima hautfai,
vijiji vya wapi mkuu labda ya moshi na arusha ,nenda nyanda za juu kusini ,njoo kanda ya ziwa vijijini uone,unachekesha wewe,
mkuu izo takwimu unazitoa kwenye kybod yako nini ,mbona lowasa amekuja kwetu ludewa ni aibu ,uliza mtu aliyeko mbea akwambie adi juzi sugu ameanda kungoa mabango ya magufuli soko la mwanjelwa,hadi sasa
magufuli ankubalika kwa asilimia 85% nchi mzima,