jamani! local chanel ipi itaonyesha Afcon 2013?

jamani! local chanel ipi itaonyesha Afcon 2013?

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,618
Reaction score
13,882
je,Tanzania ni local chanel gani itaonyesha michuano ya kombe la mataifa(afcon 2013)yatakayo anza kesho huko bondeni kwa mzee madiba?kwani nchi nyingi vituo vya tv vya taifa ndio hutegemewa kuonyesha michuano mikubwa kwa wananchi wao mfano,KBC,UBC,ila kwa hapa kwe2 ni tofauti kabisa kwa hii TBC,japo inaendeshwa kwa kodi zetu!muda mwingi wao ni vipindi vya tamaduni za wachina tu,utadhani imekuwa CCTV-9,na nini ccm imefanya!japo najua bado wa2 wengi wako kwenye maumivu ya ving'amuzi,poleni kwani ni maagizo toka kwa wakoloni wetu!
 
Naomba mnisaidie ndugu zangu, kwa yule anayejua tafadhari ,coz nina mzuka wa kuona hili kombe hili.
 
naam....swali hili limekuja muda muhafaka: ngoja tusubiri wenye Taarifa.
 
Ebwanah! Hakuna ila ni kwa njia ya kisimbuzi au kinga'muzi cha dstv! Bila hivo haina jinsi!! Kamanda!!
 
mpaka sasa kimya hakuna channel yeyote ya local waliojitokeza kuonyèsha afkoni. Nchi hii hakuna raha jamani.
 
Mkuu toka Dstv iingie hapa imekuwa tabu.. Ninaamini kuna njama za makusudi zinafanyika ili local tv stations zicionyeshe..

Ule msemo wa mwenye nacho ataongezewa na acie nacho hata kile kidogo atanyang'anywa ndo unafanyika hapa Tz..
 
Poleni sana bongo.ina.wenyewe hiyo
 
ni dstv ndio wataonesha hilo kombe kuanzia leo..
 
nimeongea na mfanyakazi wa startimes anasema tbc ila bado wapo on negotiation.
 
Tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote nchi yangu tanzania karibu wasio kwao wenye shida na tabu wote 2napatikana TANZANIA,ushaichukia hii song afu ndio jibu la kuonyesha mpira wa AFCON
 
Kama unatumia, unatumia madish ya kawaida ya bila kulipia, weka mozambique tv TVM1, wanaonyesha
 
Back
Top Bottom