Happy Friday jirani!
Sasa ukishajifungia unafanya nini? Unakunywa MD 20/20 au lemonade?
Wastaarabu sana .Ila utakunywa mpaka ukome kama wewe mnywajimimi sipendi kwa wahenga wababa wa siku hizi hapana aisee wana tamaa sana kuliko hata vijana
Twende movie basimimi sipendi kwa wahenga wababa wa siku hizi hapana aisee wana tamaa sana kuliko hata vijana
You are Clueless14 of what happens on fridays nights
Unalea au ?Acha yani outing kubwa nayofanya ni lunch!
Tv is my friend maybe usafi maybe new recipes, just anything ila naona adhabuuu kutoka. While zamani miguu ilikuwa inawasha kila siku it was a must kwenda mahali hata kunywa maji tu
Unalea au ?
Master bado kuna live band?Njoo master club mikocheni utanikuta counter na juice ya ceres
uuuwiii sipendi kuzurura sana
WHO TOLD YOUMashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.
Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka.
Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa
Hahaha, wahenga ndio wenyeweMikocheni.ni kwa wahenga lakini
Mbezi beach kumenikaliaga kushoto...Kama unapenda viwanja jioni mbona vipo vingi,sio tu kinondoni kuna vingine mikocheni,posta , ,mbezi beach na sinza.Raha ya usiku kuzurura sanaaaa mkuu
The great konyoo...kwetu pazuri kubanana na mikelele...Tabata nasikia ndio kwenyewe the great, Kweti pazuri, fouty fourty.......
Acha yani outing kubwa nayofanya ni lunch!
Tv is my friend maybe usafi maybe new recipes, just anything ila naona adhabuuu kutoka. While zamani miguu ilikuwa inawasha kila siku it was a must kwenda mahali hata kunywa maji tu
Ya hatariMaster bado kuna live band?
Hata movie jamani hutaki tena?Nope, dogo kishakuwa. Basi tu naona enjoyment yangu inakuja unipandishe ndege niende zangu huko hawaii jamaica anguilla alaska australia nk. Otherwise am like yale yale tu hamna jipya mitaani