Jamani leo Ijumaa bata wapi

Acha yani outing kubwa nayofanya ni lunch!

Tv is my friend maybe usafi maybe new recipes, just anything ila naona adhabuuu kutoka. While zamani miguu ilikuwa inawasha kila siku it was a must kwenda mahali hata kunywa maji tu
Unalea au ?
 
Mashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.

Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka.

Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa
WHO TOLD YOU
 
Acha yani outing kubwa nayofanya ni lunch!

Tv is my friend maybe usafi maybe new recipes, just anything ila naona adhabuuu kutoka. While zamani miguu ilikuwa inawasha kila siku it was a must kwenda mahali hata kunywa maji tu

Heck...you might as well do the “In my feelings” challenge and bless us with the video.

Hey Keke, do you love me? Are you riding?
Say you’ll never ever leave me
Cause I want ya
And I need ya

But seriously this challenge thing has got to stop!! So sick of it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom