Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
kwani huyu ni mwarabu😱😱
Uyu n mukongo man yenye asili ya Qatar lol😎😎😎
kwani huyu ni mwarabu😱😱
Aiseeee mimi sio mwarabuuuu
Ananionea
Aiseeeee jamani poleni sana mtandao wa tigo umenifanyia yote haya nimejiunga bando la mwezi sasa toka alhamis network inasumbua sana sijui kuna shida gani nisameheni bure tu
Stella alikuwa anajishtukia kwani alikuwa anajua ana mwrabu tumbon
[JFMP3][/JFMP3]
Unaharaka madam mdogo mdogo
Nan kakwambia mm madam asee
hivi kama mtoto angekuwa ni wa mbantu kama mimi ingekuwa ndio ishakula kwa Mozie?????
Jina tu linasema avatar ndio kabisa
Kumbeeee!!!!!!!! am very sorry
Kumbe unataka kutunyima???? watu tusifunuliwe