Jamani, kwani lazima?

Jamani, kwani lazima?

Wamesahau alivyokuwa anahangaika kugawa papuchi kwa wanaume eti akidai anamsaidia mume ametembea mpaka na mdogo wa mume wake ila tu hapo mume hajajua hii muviiiiii wanawakewengi wanaona et Paulina anaonewa
Hii ni jinsi gani mwanamke ni kumbe wa ajabu sana dunia,hutenda mabaya ila hayupo tayari kupokea malipo ya mabaya aliyofanya....
 
Usilipe baya kwa baya.hapa watu nahisi wanamtetea pau labda kwasababu wanajua kinachoendelea.sio kua alipenda kufanya vile,kulala nje.
Na mozie kumtenda hivo ni hasira na uchungu wa kusalitiwa ila sio kua Paulina deserves to suffer.
 
Hapa mwenye kosa ni Stella ametumia kosa alilolifanya mwanamke mwenzie lakini pia stress alizokuwa nazo Mozie kujifanya yeye ndo tulizo, ila kwa paulina hayo nod matokeo yake na hana budi kuyapokea
 
Hii ni jinsi gani mwanamke ni kumbe wa ajabu sana dunia,hutenda mabaya ila hayupo tayari kupokea malipo ya mabaya aliyofanya....
Paulina adhabu hii hana buni kuitumikia na hatakiwi kusawazisha kwa hasira na jazba au kuonyesha chuki kwa stella inatakiwa awe mpole
 
Usilipe baya kwa baya.hapa watu nahisi wanamtetea pau labda kwasababu wanajua kinachoendelea.sio kua alipenda kufanya vile,kulala nje.
Na mozie kumtenda hivo ni hasira na uchungu wa kusalitiwa ila sio kua Paulina deserves to suffer.

Kama paulina alitenda mema basi hata mose anatenda mema,kwa hiyo kama mose alistahili kufanyiwa yale na paulina basi hata paulina anastahili kufanyiwa hayo...dunia hii kila mtu akifanya analopenda nae afanyiwe hakika ingekuwa ni mahali salama sana na pasingekuwa na mauaji...ndio kusema kama paulina alifanya mema kwa mose basi nae anastahili pia kupokea wema huu...
 
Paulina adhabu hii hana buni kuitumikia na hatakiwi kusawazisha kwa hasira na jazba au kuonyesha chuki kwa stella inatakiwa awe mpole
Tena mose kawa mstaarabu sana,kwanza kafanya na beki tatu,pili kafanya na beki tatu ambaye paulina anamjua...wakat paulina yeye kafanya na watu tofauti tofaut ambao ni hatar kwake na afya ya mose pia...
 
Mkuu Daudi1 vp mbona kimyaa!? Leo ni ijumaa mkuu njoo ulete mambo huku.
 
Last edited by a moderator:
Leo ni Ijumaa tusaidieni hako kaHadithi
maana wengine ni wavivu kubeba magazeti ya Shigongo
 
Back
Top Bottom