chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,260
- 870
ijumaa mbali dah
Ha haa mkuu Daudi1 yaani umeongea km me nnavyofikiri,kwamba Stella atakuja kutoswa na mimba itakuja julikana si ya mozie atakapofanyiwa vipimo na kuonekana hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke! Ha haaa,patakuwa patamu hapo,ngoja tusubiri.Na inawezekana hata mimba si ya Mozie patamu hapo
ijumaa mbali dah
👻mmmmh.hilo nalo neno.Na inawezekana hata mimba si ya Mozie patamu hapo
Ila umesoma eee sema tu ukweli nitakupa zawadi
Wamesahau alivyokuwa anahangaika kugawa papuchi kwa wanaume eti akidai anamsaidia mume ametembea mpaka na mdogo wa mume wake ila tu hapo mume hajajua hii muviiiiii wanawakewengi wanaona et Paulina anaonewaMe nashindwa kuelewa kwa nn wanawake humu wanamshabikia Paulina, nmeamini kuna mambo wanatufanyia af wanaamini bado wana haki na ndoa zao.Mm likitokea kwangu sitaomba ushauri aisee. Mungu aepushie mbali.
Utakaribisha panya road sasa ukaikosa hata hiyo zawadi si unajua vurugu zao
Chagua tu usiogope
afu cku iz Daud anazingua anasimulia kasehem kamoja tuNdo kwaanza tupo j4
afu cku iz Daud anazingua anasimulia kasehem kamoja tu