Mbunge wa CCM
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 475
- 22
jamani nimeona ukitaka ku-search hapa JF unatakiwa kujibu random question. ukijibu, mara unaambiwa umekosea random question, ukiitafuta hiyo andom question nakuta unauliwa swali la darasa la pili!
eti jina la mwissho la rais wa tanzania ni nini?!!!!!!!!!!
haya sasa wamebadilisha, ukiweka kikwete unakosa, kumbe sasa wanataka jina la mwisho la rais wa marekani!!!!!!!!!!!
sasa mi nauliza wahusika, hivi hiyo random qn inatupima uelewa wetu au ina kazi gani nyingine zaidi ya kusumbua tu wasomaji wa JF. hivi goal au objective au puropose ya hilo swali ni nini??????????
kwa nini msitengeneze kitu simpo na safe.
mnatuita great thinkers halafu mnatutest na maswali ya darasa la chekechea?
tafadhari tuondoleeni kero hii