jamani, kwa nini JF inasumbua wasomaji?

Mbunge wa CCM

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
476
Likes
1
Points
0

Mbunge wa CCM

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
476 1 0
jamani nimeona ukitaka ku-search hapa JF unatakiwa kujibu random question. ukijibu, mara unaambiwa umekosea random question, ukiitafuta hiyo andom question nakuta unauliwa swali la darasa la pili!

eti jina la mwissho la rais wa tanzania ni nini?!!!!!!!!!!

haya sasa wamebadilisha, ukiweka kikwete unakosa, kumbe sasa wanataka jina la mwisho la rais wa marekani!!!!!!!!!!!

sasa mi nauliza wahusika, hivi hiyo random qn inatupima uelewa wetu au ina kazi gani nyingine zaidi ya kusumbua tu wasomaji wa JF. hivi goal au objective au puropose ya hilo swali ni nini??????????

kwa nini msitengeneze kitu simpo na safe.

mnatuita great thinkers halafu mnatutest na maswali ya darasa la chekechea?

tafadhari tuondoleeni kero hii
 

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
37,078
Likes
6,665
Points
280

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
37,078 6,665 280
mkuu kama wewe uliweza
wao wana nnini??nafikiiri ukijibu ulichoulizwa unafanikiwa
kama unaulizwa jina la mwisho la rais wa marekan unajibu obama what nexty??
 

Mbunge wa CCM

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
476
Likes
1
Points
0

Mbunge wa CCM

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
476 1 0
Hiyo ni kuzuia bots. It's either that or a torrent of spam.
kuna website/blog ngapi duniani hazina hako kamchezo! ina maana hapo ndipo akili yao ilipogota? kwa nini wasidesign ktu simple and safe? usumbufu wa nini?

kila mara ukutaka kusearch unaulizwa viswali vya chekechea, inaboa sana wakuu

hebu jaribu kufikiria wale wanaotegemea kulipia cafe, halafu anapoteza muda na viswali vya chekechea tena ambavyo havikusaidii wala si vya lazima kwao walioviweka. kumbukeni si wote wana computer majumbani!
 

Mbunge wa CCM

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
476
Likes
1
Points
0

Mbunge wa CCM

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
476 1 0
mkuu kama wewe uliweza
wao wana nnini??nafikiiri ukijibu ulichoulizwa unafanikiwa
kama unaulizwa jina la mwisho la rais wa marekan unajibu obama what nexty??
unajua mkuu, JF imeishakuwa kuba sana na si watu wote hufungua JF kuchati. wengine hufungua kutafuta mambo muhimu na habari muhimu, so akifungua tu anaenda moja kwa moja anakotaka.

tatizo ni kuwa sioni umuhimu wa kuweka ule usumbufu hapo kwani hata ukikosea ina maana huna haki ya ku-access? ukipata ndio umeprove nini kwa hao wahusika au inawasaidia nini wahusika au wanachama.

mambo mengine hayana tija, ni usumbufu tu....

mfumo simpo and safe unawezekana!!!!!!!!!!
 

klorokwini

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
8,708
Likes
53
Points
135

klorokwini

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
8,708 53 135
greti thinka mgombea paliament unaonekana mwaka umeuanza na magazab. hako kasuali unakokaona wewe ka chekechea mie nimekakosa . Kimewaka!
 

Forum statistics

Threads 1,190,286
Members 451,082
Posts 27,666,571