Danyol leonardo
Member
- Apr 18, 2012
- 20
- 6
wale watumiaji wa king'amuzi cha continenental pata taarifa kamili
wale watumiaji wa king'amuzi cha continenental pata taarifa kamili
matangazo yalikatika lakini mimi nilikuwa nawapata vizuri sana bila chenga,,,ila leo naona matangazo yao kuwa wamerudi hewani
na dish .. au antena za kawaida maana mi napata .. zilezile...wale watumiaji wa king'amuzi cha continenental pata taarifa kamili
mkuu hakuna hujuma hapo tena hapa niko nawaona dotmund live moveie usisema,,hadi chanel za satartimes zipo kama starmovie,star one,star plus bureeeeee
Ni uongo continental ni zipo channel 11 Tu; labda ujatoa maelezo ya kutosha tukuelelwe
wewe fuata maelekezo hapo,,wenzako washajaribu na imafanya kazi.