jamani kwa anayetaka maelezo namna ya kupata chanel zaidi ya 160 bure

samahani kwa kukawia kutoa maelezo.
1.bonyeza menu katika remote yako
2.nenda kwenye commom setting
3.chagua facctory setting
5.passwod ''0000''then wait
6.baada ya hapo nenda kwenye search achana na language then wait itakuwa ina scan
utapata all chanels
 
mkuu hakuna hujuma hapo tena hapa niko nawaona dotmund live moveie usisema,,hadi chanel za satartimes zipo kama starmovie,star one,star plus bureeeeee
 
matangazo yalikatika lakini mimi nilikuwa nawapata vizuri sana bila chenga,,,ila leo naona matangazo yao kuwa wamerudi hewani
 
Mkuu, hii ni kweli unapata lakini tangu mwanzo zilikuwa zinakwama kwama isipokua star guide ndio ilikua inaonesha pekee, je tatizo la kuscratch unaliondoaje?
 
Hebu niambie kama kinafanya kazi huku ughaibuni tarajiwa zenji niwape za uso startimes!
 
kadiri umavyozidi kuchat zinashika chanel nyingi
leo setanta africa inaonesha,,dunai sports,dubai one,stv kungfu,guide,wale wa na zile 11 za awali zipo kama kawaida,,za dini zipo kama 30,,ikiwemo atn 1 and 2,
kuhusu kuscrach unaweza ukaset antena yako ya nje mfano wa hizo za startimes zinavypkuwa
na hao wanaosema ni uongo waache waseme wakati sisi tunakula uhondo.
 
Back
Top Bottom