Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information

Kwa nini ucheat? why aisee kuwa tu makini kama hamuhitaji huyo mtu acha kabisa nadhani hujawahi fahamu maumivu ya mpenzi, mme au mke kucheat na mwenzi wake akajua. Let me give you my own story, nilioa mwanamke baada ya miaka minne ya ndoa na tayari tukawa tuna watoto wawili niliamua kwenda kuongeza elimu kidogo, hivo nikatoka Arusha kuja Dar. Nikiwa chuoni mwaka wa pili mke wangu mienendo ikaanza kubadilika, kila Alhamis bibie ukipiga simu usiku hayuko nyumbani, ukiuliza anakwambia niko kwenye sendoff, sendoff kila wiki wewe ni MC hapana,
Kwa nini sendoff kila mara? siku ya siku bana kajichanganya katuma message kwa shogake mmoja hivi, nayo ilikuwa inasema ulivosema habari ya taulo nikambukua....... kataja jina la mtu fulani. Ghafla kengele ikalia kichwani ikabidi nimbane hakunyoosha maelezo. Nilichofanya nikasafiri kwenda Arusha ghafla, nilivofika kitu cha kwanza nikateka simu kwa muda wa wiki. Niliyokutana nayo yalikuwa yanafurahisha, mke wangu alikuwa na danga moja, na sponsor. Nikiwa nimeshika simu ikatumwa shiingi milioni laki tano kwa Mpesa, na message iliyokuwa inasema hiyo fanya shoping ujiandae ili nikupeleke kwa wazazi,
Sijamaliza task yangu ikaja sms nyingine hii ni kutoka kwa mtu mwingine ikilalamika kwa nini siku hizi anapigwa chenga, kipindi chote hiki nilichoshikilia simu mke alikuwa anaingia ndani anatoka, anaingia ndani anatoka kwa siku anaweza kufanya hivo hata mara hamsini.
Baada ya kugundua kuwa anacheat nikaamua nimwulize mke wangu ni kwa nini uliamua kutoka nje ya ndoa na kujitambulisha kuwa hujaolewa mpaka mtu anatangaza uchumba, nawe ukakubali.
Sikuwa mkali nikamwambia mpangie huyo jamaa yako siku ya kwenda kukutambulisha kwao, lakini umwombe wewe ndo uanze kwenda kumtambulisha. Nikiwa nimeshika sime mkononi nikamwambia piga simu sasa hivi kwanza kwa huyo bwanako mwambie siku fulani twende nikakutambulishe nyumbani. Simu ya pili mpigie babako na mamako uwaambie siku fulani nakuja kumtambulisho mchumba.
Akajifanya naomba unisamehe nikamwambia nahesabu mpaka tatu natenganisha kichwa na mwili alafu baadae hicho kitobo naingiza kisu nachanachana kama karatasi.
Akapiga simu kwa huyo mtu akamwambia naomba mimi ndo nianze kwenda kukutambulisha, kukawa na mvutano lkn jamaa akagundua kama anaongea kwa wasi wasi. Akauliza mbona kama haujiamini leo nikachukuwa simu nikamwambia huyo jamaa mheshimiwa huyu unayeongea ni mke wangu wa ndoa na nashukuru kwa hii milion moja na laki tano uliotuma.
Kuhusu wazazi wake aliniomba sana asiwapigie kwa sababu mamake ana pressure na angeweza kufa. Baada ya kutafakari nikaona sawa. Baada ya kukamilisha uchunguzi wangu usiku huohuo nikawaaga watoto wangu nikawambia naarudi Dar.
Kilichofuata ni sms na simu kila dakika kila siku.
nisiwachoshe lakini. Usiombe ukasalitiwa na mme au mke unayempenda.
Dah pole sana mkuu. Hongera pia kwa kuweza ku control hasira zako maana watoto wengeweza kukosa wazazi wote wawili.
Usaliti unaumiza sana na usaliti unaweza badilisha kabisa tabia ya aliyesalitiwa...
 
Kindly let me go straight to the point,

Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information.

I feel like nachunguzwa

My concerns ni je kweli inawezekana?bila mtu kushika simu yangu anaweza kupata chat zangu za whatsap. Muhusika ni mtu wa IT
Ameshawahi kuniambia nikifanya madudu atayajua tu na atanionyesha ushahidi.

I have been flirting here and there, sasa ameanza maneno kama vile anajua ninacho kifanya. Kama Kuna uwezekano wa kuzuia asione chats zangu pia I will be glad if I get any help.

Thank you
Sema ile voicenote umejilipua sana naisikiliza kila muda siamini kama ni wewe!
 
Kindly let me go straight to the point,

Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information.

I feel like nachunguzwa

My concerns ni je kweli inawezekana?bila mtu kushika simu yangu anaweza kupata chat zangu za whatsap. Muhusika ni mtu wa IT
Ameshawahi kuniambia nikifanya madudu atayajua tu na atanionyesha ushahidi.

I have been flirting here and there, sasa ameanza maneno kama vile anajua ninacho kifanya. Kama Kuna uwezekano wa kuzuia asione chats zangu pia I will be glad if I get any help.

Thank you
Pale tu unapojifeel insecure kwenye mahusiano, basi jua unatenda ubaya. Be a desirable Lady, acha kuwa mtumishi wa jumuiya. Siku ukishtuka hutokuwa na soko tena
 
Hizi habari za kudukuana nazionaga za kitoto sana. Ukiona mtu kaanza kukudukua hana confidence na wewe na hapa najiuliza kwanini asikuache tu
.
Sielewagi kwanini mtu uendelee kuwa kwenye mahusiano unayoingia gharama kubwa kuyabomoa zaidi ya kuyajenga
wengine wana ndoa za kanisani au msikitini na kwa unavyojua kuvunja ndoa Kuna utaratibu wa kufuata hamfukuzani Kama vibaka. Sasa MTU Kama ushahidi wa maana huna unafanyaje?? na wengine wanakuwa wameshachoka wanataka kuacha au kuachwa changamoto inakuja ushahidi au sababu za msingi ziko wapi?

hapo ndo suala la kudukua linapopata nafasi hapa.

labda tuseme hii njia Ina risk Sana mtu unaweza ukafa kabla hata hujafikia lengo lako.

na Mimi nikimchoka huyu niliyenaye namdukua halafu namrudisha kwao Kama nanawa.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
"labda tuseme hii njia Ina risk Sana mtu unaweza ukafa kabla hata hujafikia lengo lako"

Kweli Unaweza kutana na vitu ukafa au ukaua 😥😥😥😥
 
Siyo kweli.. wanawake mmezidi usaliti siku hizi
Dah THE BADDEST haya mambo wewe yaache tuu. Kuna dada mmoja aliolewa ndoa takatifu na mume waliependana sana. Waliishi miaka mifano na wakajaliwa watoto2. Mume alikua na kazi nzuri na biashara kubwa, alimpenda sana mke wake na watoto, aliipa familia yake kila walichohitaji na ziada. Ila baada ya mwaka wa kwanza wa ndoa yao mwanamke alikua hamuelewi mume wake. Kuna tabia zilikua zikimfanya ajiulize maswali mengi sana mwisho akaamua kufanya udukuzi movements za mume wake....
Hakuamini alipopata ushahidi usio na shaka kwamba mume ni shoga na tena ana mume wake permanent kabisaaa, maskini yule dada alidondoka aliposhtuka akajikuta kwenye kitanda hospitali na baada ya kutoka pale ndoa iliishia hapo
 
Back
Top Bottom