Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information

Maya Angelou

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
1,081
2,483
Kindly let me go straight to the point,

Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information.

I feel like nachunguzwa

My concerns ni je kweli inawezekana?bila mtu kushika simu yangu anaweza kupata chat zangu za whatsap. Muhusika ni mtu wa IT
Ameshawahi kuniambia nikifanya madudu atayajua tu na atanionyesha ushahidi.

I have been flirting here and there, sasa ameanza maneno kama vile anajua ninacho kifanya. Kama Kuna uwezekano wa kuzuia asione chats zangu pia I will be glad if I get any help.

Thank you
 
Inawezekana na pia sababu anajua/hisi your Flirting(i can say another word of cheating), yaweza kua hana ushahidi ila sababu amegusa penyewe, Ukahisi ana uhakika kumbe na yeye anabahatisha,
Inshu ni kujua, je anajua kweli au ana hisi.
 
Inawezekana na pia sababu anajua/hisi your Flirting(i can say cheating) yaweza kua hana ushahidi ila sababu amegusa penyewe, Ukahisi ana uhakika kumbe na yeye anabahatisha,
Inshu ni kujua, je anajua kweli au ana hisi.

Maybe
Sijui pia nawaza
 
inawezekana mtu kujua mawasilino yako, kuanzia whatsup, normal sms nk (mara nyingi wanatumia kali linux kufanyia izo penetration na kupata izo vulnerability ), na inawezekana kuzuia iyo kitu. karibu inbox
Tupe maujanja hapa hapa kama wewe ni mkali
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom