Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information

Hizi habari za kudukuana nazionaga za kitoto sana. Ukiona mtu kaanza kukudukua hana confidence na wewe na hapa najiuliza kwanini asikuache tuu.
Sielewagi kwanini mtu uendelee kuwa kwenye mahusiano unayoingia gharama kubwa kuyabomoa zaidi ya kuyajenga

Mimi pia sielewi,kwanini umfatilie mtu mzima. Mfano kama ameona kitu si aniache tu. Sasa anaanza kunitishia kwamba kuna kitu anajua na hakisemi.

Ananitoa uhondo wangu lol

Mapenzi bana very complicated
 
Kindly let me go straight to the point
Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information
I feel like nachunguzwa
My concerns ni je kweli inawezekana?bila mtu kushika simu yangu anaweza kupata chat zangu za whatsap
Muhusika ni mtu wa IT
Ameshawahi kuniambia nikifanya madudu atayajua tu na ata nionyesha ushahidi
I have been flirting here and there,sasa ameanza maneno kama vile anajua ninacho kifanya
Kama Kuna uwezekano wa kuzuia asione chats zangu pia I will be glad if I get any help
Thank you
Kwanza jibu ni NDIYO halafu simple sana.
Kingine ni kwanini usimwambie ukweli kwamba haumtaki ili uishi kwa amani?.
Na kuhusu swali lako la kuzuia asione pia inawezekana .
But deal with it yourself .
 
Kindly let me go straight to the point
Jamani kuna uwezekano wa mtu kupata chat zangu za watsap without my information
I feel like nachunguzwa
My concerns ni je kweli inawezekana?bila mtu kushika simu yangu anaweza kupata chat zangu za whatsap
Muhusika ni mtu wa IT
Ameshawahi kuniambia nikifanya madudu atayajua tu na ata nionyesha ushahidi
I have been flirting here and there,sasa ameanza maneno kama vile anajua ninacho kifanya
Kama Kuna uwezekano wa kuzuia asione chats zangu pia I will be glad if I get any help
Thank you
Jamaa anachokifanya ni kucheza na akili yako tu..
 
whatsapp web
angalia kweny whatsapp yako kama kweny whatsapp web pana onesha logged on kweny computer bas we log out
 
Nisaidie jamani kweli kwamba whatsap inadukuliwa ‍♀
Sasa mbona it’s not safe
Sio rahisi hivyo ni Kama email lakin inawezekana in serious business sio hayo mambo yenu ya kuchepuka maana hawezi ku invest ktk process hiyo.App nyingi za udukuzi za kawaida ni Mpaka mdukuaji ashike cm yako afanye installation na huwa kwa watsap official zinafeli.
Labda kama umeweka hizo watsap za kawaida kama yo,FM n.k
 
Haaa, kama ndivyo basi kiama changu kinakuja
Yaani ulikuwa hujui kama mtu anaweza kuona kila unachofanya kwenye simu? Kuna programm kibao za kulipia anaweza kupakua na akakuchunguza. Pia service providers wasio waaminifu ukiwapa hela wanakupa mkeka mzima
 
Back
Top Bottom