wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
wavulana wana kazi gani?Pole byshernger
sio mabinti tu
hata wavulana ni kazi mno.
Hakikisha unakuwepo, sio unakuwa baba wa kukodi.
wavulana wana kazi gani?
hakuna hofu kwa mzazi kama mvulana wake akiwa sh.og.a
hasa haya maeneo ya mjini
ambapo mtoto anafuatwa na skul bus na mazingira mengine hatarishi.
Siwezi sema bora wa kike maana na yeye ana uchungu wake
lakini angalau watapita kwenye njia inayoruhusiwa hopeful

Pole mkuu watoto kwakweli wanaumiza kichwa sio wa kike wala wakiume . Wazazi wajifunze kuwa karibu na watoto , hi inasaidia kuwajua na kuwasaidia watakapo kwenda katika njia mbaya mapema kabla mambo hayajaharibika sana . Na tujaribu kuwa na urafiki na watoto wetu watakuwa hawana uwoga wa kutuambia mambo mengi, hivo inakuwa rahisi kumshauri .
ni kweli
ni kama mwezi umeisha kuna dada mmoja
kampeleka mtoto wake hospital
akampime kama wameshaharibu
bahati nzuri ikawa si kweli
ukiwa karibu na mtoto ni rahisi kugundua mabadiliko madogo madogo sana.
wa kwangu sasa hivi natamani nimtafune nimmeze,presha imepanda,kichwa kinaniuma,yaani nasikia kizunguzungu,wana nini watoto hawa? Niacheni nilale nisije nikampasua kichwa!
Nini kilimtia wasiwasi...
Hivi inafanana na kuwachezea/chafua mabinti wa wenzio?