Jamani kugongewa mpenzi/mke inauma sana

Jamani kugongewa mpenzi/mke inauma sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubaya ubaya, unatakiwa utubu sasa uanze ukurasa mpya maisha yaendelee.

Yaani nikiwaza eti wangu nae watakuja kumkunja nakata tamaa hata yamahusiano maana nlikuwa mpambanaji sanaa
 
Yaani nikiwaza eti wangu nae watakuja kumkunja nakata tamaa hata yamahusiano maana nlikuwa mpambanaji sanaa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Watakufanyia kama ulivyowafanyia, haijalishi uliwakunja au uliwasimamisha,na wenzio lazima wakupambanie tuu kwa mkeo. Huo ndio ukweli piga moyo konde [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mmmm what if nikaja kukuoa wewe hii assurance umenipatia itatokea tu ? Inauma eti
 
Wapojua Mimi napenda Pombe walikuwa wananinunulia wanaacha nimelewa halafu wanaenda kumla mchumba wangu..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Yote kheri lakini
Ulikua fala sana aisee...
 
Kuna mambo mengi ya kufikiria katika maisha lakini siyo kufikiria mambo ya kugongewa. Hujazaliwa naye, hauna control naye 100%, afanyacho ukiwa haupo naye hujui. Usiwaze wala usitake kujua. Utajiumiza moyo.

Principal yangu ni kutofatilia mtu na sitaki mti anifuatilie. Nitatulia na wewe kama napata kile kitu roho inataka. Ukinizingua nachepuka, ukinichoka niache simple.
You are going to live a happy life.
 
Mimi ninachoogopa ni magonjwa tu, na unapofanya usifanye mbele yangu tu. na ukumbuke kupima au kinga. baasi.
wewe chepukaaaaa mpaka uchoke tu
 
kumbe na ww huezi kuikwepa hii kitu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Siwezi kupitia yeye kama alikula vya watu lazima na mimi niliwe hata kama sio kwa ridhaa yangu, ntafanyiwa ubaya kulingana na ubaya alioufanya.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Siwezi kupitia yeye kama alikula vya watu lazima na mimi niliwe hata kama sio kwa ridhaa yangu, ntafanyiwa ubaya kulingana na ubaya alioufanya.
ha ha ha.... Naona hauna moyo bali una jiwe
 
Back
Top Bottom