Jamani kugongewa mpenzi/mke inauma sana

Jamani kugongewa mpenzi/mke inauma sana

Pole cn ndg kiukwel inauma sana mm yamenikuta ndani ya weak moja mtu kabadilika tatzo alijulikani na ndoa hikahailishwa kufungwa kumbe kampata mchizi mwingine, pole sana nataweza kupenda ten japo nilishasamehe na maisha yanasonga kiukwel nasema basi tu cjuw kama niakuja kuwa na upendo na hawa viumbe cjuwi muujiza gani utokee kiukwel
 
So walimkula mtu wako ?? nawewe ungeenda kumla wa mtu chap kupooza maumiv
 
Pole cn ndg kiukwel inauma sana mm yamenikuta ndani ya weak moja mtu kabadilika tatzo alijulikani na ndoa hikahailishwa kufungwa kumbe kampata mchizi mwingine, pole sana nataweza kupenda ten japo nilishasamehe na maisha yanasonga kiukwel nasema basi tu cjuw kama niakuja kuwa na upendo na hawa viumbe cjuwi muujiza gani utokee kiukwel
pole yako Mkuu na ww ila lazima maisha yaendelee
 
nilikua nshazoea kuwala wa watu ila walinilipiza nadhan ndo nikajua madhara yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ulikuwa unamwaga mboga tuu, Sasa wenzio nao wakaona isiwe shinda nao wamemwaga ugali.
 
Daaah...!!! Ila tuyasahau ili maisha yaendelee cha msingi wanaume wenzangu to tuwekeze na kujituma kutafuta pesa ili wanao baadae waje waishi maisha mazuri tukikalia hawa ndg ztu tutaumia sana, tafuta pesa wekeza nawaone wakawaida cn ili tuepushe mambo mengine
 
Back
Top Bottom