Jamani kugongewa mpenzi/mke inauma sana

Jamani kugongewa mpenzi/mke inauma sana

Kuna mambo mengi ya kufikiria katika maisha lakini siyo kufikiria mambo ya kugongewa. Hujazaliwa naye, hauna control naye 100%, afanyacho ukiwa haupo naye hujui. Usiwaze wala usitake kujua. Utajiumiza moyo.

Principal yangu ni kutofatilia mtu na sitaki mti anifuatilie. Nitatulia na wewe kama napata kile kitu roho inataka. Ukinizingua nachepuka, ukinichoka niache simple.
 
Wapojua Mimi napenda Pombe walikuwa wananinunulia wanaacha nimelewa halafu wanaenda kumla mchumba wangu..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Yote kheri lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sema sijui Kama nagongewa usiseme sigongewi

Wanagongwa ma First ladies na Ulinzi wote itakuwa Demu wako wa Tandale kwa Mkunduge? [emoji12] [emoji12]
Mkuu...

Nipo single bhanaaa, sina mke wala bae, Ila nipo kwenye michakato tuu.

Dua zenu zinahitajika yasinikute. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kuna jamaa alikuwa akiitiwa offer ya bia anaenda na demu wake, anapenda Grants akizima demu anagongwa kwenye gari kisha wanarudishwa home, siku nyingine wanarudishwa mpaka home jamaa anazima chumbani demu anagongwa chumba cha wageni kisha anarudi kwa mumewe alfajiri, baadhi ya wanawake ni wabaya balaaa.
 
unaniumiza ukiniambia na wakwako walimla maana nishawagaragaza sana sasa sijui na kwangu wananifanyia ivo pia akiamungu nitaua mtu
Mla cha mwenzie na chake uliwa [emoji28][emoji28]
Kikubwa omba Mungu usigundue.
 
Wapojua Mimi napenda Pombe walikuwa wananinunulia wanaacha nimelewa halafu wanaenda kumla mchumba wangu..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Yote kheri lakini
ha ha ha.... Nimecheka kwa nguvu but pole sana
 
Wapojua Mimi napenda Pombe walikuwa wananinunulia wanaacha nimelewa halafu wanaenda kumla mchumba wangu..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Yote kheri lakini
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pole sana aiseeh
 
Mkuu...

Nipo single bhanaaa, sina mke wala bae, Ila nipo kwenye michakato tuu.

Dua zenu zinahitajika yasinikute. [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Kwa hiyo uniashije na kibaridi hiki au Comrade Punyeto Ndio Mwezeshaji wako?
 
Bora hata usingeleta mada hii,kuiweka tu hapa imeniumaa balaa.

Sitasahau milele tukio lile 2010,na ka used condom pembeni.

Kama nitakuja mwamini mwanamke hapa Duniani basi Mungu mkubwa.
Na Ndo maana nasita sn kuoa.
Pole sana
 
Pole cn ndg kiukwel inauma sana mm yamenikuta ndani ya weak moja mtu kabadilika tatzo alijulikani na ndoa hikahailishwa kufungwa kumbe kampata mchizi mwingine, pole sana nataweza kupenda ten japo nilishasamehe na maisha yanasonga kiukwel nasema basi tu cjuw kama niakuja kuwa na upendo na hawa viumbe cjuwi muujiza gani utokee kiukwel
Mkuu pole sana. Yaani mpaka ndoa hikahailishwa kabisa? Wakati humeshajihandaa? Hinahuma kwa kweli!
 
Pole cn ndg kiukwel inauma sana mm yamenikuta ndani ya weak moja mtu kabadilika tatzo alijulikani na ndoa hikahailishwa kufungwa kumbe kampata mchizi mwingine, pole sana nataweza kupenda ten japo nilishasamehe na maisha yanasonga kiukwel nasema basi tu cjuw kama niakuja kuwa na upendo na hawa viumbe cjuwi muujiza gani utokee kiukwel
Hiki kitu kibaya sana waweza poteza direction kabisa, ila pole sana potezea maisha yaende
 
Hili tukio lilisha nisibu jaman yani mpaka leo siwaamini kina dada japokua cyo wote.
Ila namshukuru Mungu nilisahau mapema na maisha yana songa
kama uko kwenye mahusiano bora utulie tu na mtu wako kwa Amani.
Uliumia nini Mkuu?

Yani aliwe yeye uumie wewe? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Back
Top Bottom