Jamani kugongewa mpenzi/mke inauma sana

Bora hata usingeleta mada hii,kuiweka tu hapa imeniumaa balaa.

Sitasahau milele tukio lile 2010,na ka used condom pembeni.

Kama nitakuja mwamini mwanamke hapa Duniani basi Mungu mkubwa.
Na Ndo maana nasita sn kuoa.
 
Dahhh.... Hadi na mimi nimeumia Mkuu... Pole. Maisha lazima yaendelee. Kuchapiwa kupo sana tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom