Mla cha mwenzie na chake uliwa [emoji28][emoji28]
Kikubwa omba Mungu usigundue.
pole ndio maisha yalivyoBora hata usingeleta mada hii,kuiweka tu hapa imeniumaa balaa.
Sitasahau milele tukio lile 2010,na ka used condom pembeni.
Kama nitakuja mwamini mwanamke hapa Duniani basi Mungu mkubwa.
Na Ndo maana nasita sn kuoa.
yani bora ufanye yako alafu usepe tuMsitafute formula ya why ugongewe. Mwanamke hata umpe nini bado utagongewa tu. Hata ukimpa dozi usiku na mchana we subiri siku isiyo na jina utakuja ona.
NB:inshort hawa viumbe wenyewe tu hawajui nini wanataka
Na nyie ushuhuda mnaoutoa ndio mnanifanya niiogope ndoa balaa.yaani... Ila ndo ivo
Namrudisha kwao just simple.Na ukijua...?
Hapana huo unaitwa ukweli mchunguUnanikatisha tamaa mkuu please ntalia 🙁
Hapana huo unaitwa ukweli mchungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulishawahi komoana na jamaa, Alimtokea mchumba wangu kumtokea tu mimi nikamlia dada zake wawili na mchumba wake alipogunduwa alilia sanaa