Pole sana mkuu!!!Bora hata usingeleta mada hii,kuiweka tu hapa imeniumaa balaa.
Sitasahau milele tukio lile 2010,na ka used condom pembeni.
Kama nitakuja mwamini mwanamke hapa Duniani basi Mungu mkubwa.
Na Ndo maana nasita sn kuoa.
kumboumejibu vyema
Pole sana mkuu!!!
Mimi wala siwaamini wanaume kabisaaa!
Yaani nikiwa kwenye uhusiano hua nafikiria kua atakua na mwanamke mwingine! Inaniwia vigumu kuamini kua kuna mwanaume ana uwezo wa kua kwenye uhusiani bila kunisaliti... Ata ikitokea nikagundua amenisaliti hainiumi kiviile, zaidi nafikiria afya yangu.
Kama ni kuijali Afya yako basi Hongera sana, ila kwa wanaume sio wote kwa kwenye kamchezo huo ni baadhi tuu.Pole sana mkuu!!!
Mimi wala siwaamini wanaume kabisaaa!
Yaani nikiwa kwenye uhusiano hua nafikiria kua atakua na mwanamke mwingine! Inaniwia vigumu kuamini kua kuna mwanaume ana uwezo wa kua kwenye uhusiani bila kunisaliti... Ata ikitokea nikagundua amenisaliti hainiumi kiviile, zaidi nafikiria afya yangu.
nimekupata Mkuu ila kuna wengine ni SIKIO LA KUFAUkitaka usigongewe mkeo, mpenzi, hawara Fanya yafuatayo:
1: Mjali sana mwenzio
2: Kwenye sex play hakikisha anaridhika kabisa (tafadhali usimwache na hamu)
3: Mmalizie shida zake za kibinadamu kiuchumi kijamii.
4: Mfanyane vizuuuriii kila mmoja ashibe.
Ukisafiri kwa muda mrefu mnaweza kufanya mapenzi through mobile phone na hamu ikawaisha.
Mwanaume unakubalije kunyweshwa pombe? Jamaa alistahili kugongewaHapo kwny neno Mchumba tafadhali weka 'Malaya' au Kahaba!
Mchumba wako hawezi kukubali unalishwa Pombe ili wakampande Kama Pilipiki