Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Mkuu si tulisha yamaliza mbona unayaleta huku tena? Au unataka nirudie kumchukua?Hili tukio lilisha nisibu jaman yani mpaka leo siwaamini kina dada japokua cyo wote.
Ila namshukuru Mungu nilisahau mapema na maisha yana songa
kama uko kwenye mahusiano bora utulie tu na mtu wako kwa Amani.