Jamani kueni makini na hawa vijana wa forex

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
6,386
3,495
Naomba mnaojaribu kujiunga na izi biashara za forex muwe makini, sio kila kitu online ni cha kuamini
 
Attachments

  • 1710612075811.png
    1710612075811.png
    1.2 MB · Views: 12
Hii Dunia ina kanuni, ni aitha ukubali kua mlaji ama mliwaji. Watu wengi huchagua kua waliwaji.

Huyo jamaa alichagua kua mliwaji, hana sababu ya kulalamika.

Mwanaume unachukuaje pesa zako unampa mwanaume mwingine eti aziongeze ziwe nyingi zaidi?

Acha waendelee kuliwa.
 
kumbuka sio kila mtu ana uelewa wa forex na hawa watu hua online wanapost maisha mazuri, huezi mlaumu alikua na matarajio ndo maana jeff akakubali
 
Naomba mnaojaribu kujiunga na izi biashara za forex muwe makini, sio kila kitu online ni cha kuamini
Wajinga ndio waliwao, huyo jamaa mbona habar zake za kuwaingiza watu mjini zimo sana humu jf kwann watu hamjifunzi?
 
Na bado mpaka mtobolewe na spika zenu.Mwaka wa 7 huu watu wanaongelea kila siku jambo hilo hilo hamuelewi.
 
Hakuna watu wanauzoefu na FOREX nchi hii kama wanaJF.
Watu wenye hekima, wenye kazi na wasio na kazi, wenye vitambi na wasio navyo waliingizwa mkuku mkuku pale Jangid Plaza wakiwa na matumaini makubwa ya kumiliki magari makubwa na nyumba ndefu hasa wakikumbuka uzi unaosema "ijue forex: hakuna benki itataka ujue"

Hakika wanaJF hawatasahau.
 
Back
Top Bottom