Uwe makini sana na watu wenye tabia hizi WhatsApp

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,198
1. Mtu yoyote ambae anatumia whatsap na kaondoa Blue tick, unapofanya Biashara na mtu kama huyu uwe makini sana kama humfaham hata hela usitume, mara nyingi watu wanaotumia mfumo huu huwa ni watata hata hela usije jaribu kumkopesha.

2. Mtu alieset whatsap yake kwa mfumo wa disappearing message uwe naye makini sana maana text huwa zinajifuta zenyewe ndani ya maaaa 24 ushahidi unapotea so mtu akiset hivyo mara nyingi huwa sio mtu mwaminifu.

3. Watu wanaotumia non-official Whatsap kama Yo WhatsApp, Gb WhatsApp, FM WhatsApp kuwa nao makini sana unapoweka deal lolote nao, wengi huwa ni wajanja wajanja, hutumia hzo whtsap kukweka kujulikana kwa mambo mengi moja wapo kuwa wapo online, maana zingine zinaondoa hata zile tiki mbili unazani mtu hayupo online kabisa kumbe anakuchora tu na pesa kashakupiga.
 
Ulichoandika ni ukweli mchungu
 
Mwenye anaweka disappearing Sms na kuficha blue tick.

Hawa huwa unaacha kabisa kuchati nao..hata atume lundo la sms
 
1. Mtu yoyote ambae anatumia whatsap na kaondoa Blue tick, unapofanya Biashara na mtu kama huyu uwe makini sana kama humfaham hata hela usitume, mara nyingi watu wanaotumia mfumo huu huwa ni watata hata hela usije jaribu kumkopesha.

2. Mtu alieset whatsap yake kwa mfumo wa disappearing message uwe naye makini sana maana text huwa zinajifuta zenyewe ndani ya maaaa 24 ushahidi unapotea so mtu akiset hivyo mara nyingi huwa sio mtu mwaminifu.

3. Watu wanaotumia non-official Whatsap kama Yo WhatsApp, Gb WhatsApp, FM WhatsApp kuwa nao makini sana unapoweka deal lolote nao, wengi huwa ni wajanja wajanja, hutumia hzo whtsap kukweka kujulikana kwa mambo mengi moja wapo kuwa wapo online, maana zingine zinaondoa hata zile tiki mbili unazani mtu hayupo online kabisa kumbe anakuchora tu na pesa kashakupiga.
Mtu anayeset disappear messages ni mpumbavu,mjinga na mtu asiye MAKINI maana hajui kama anaweza tumiwa document au kitu muhimu na kikijifuta baada ya massa 24 anaanza kusumbua atumiwe tena
 
Back
Top Bottom