Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,695
- 4,985
sijawah kabisa Ila nampenda sanaMkuu hujawah kubahatika kumwona shunie ?
sijawah kabisa Ila nampenda sanaMkuu hujawah kubahatika kumwona shunie ?
Wanajifanyanga waarabu ee
Aisaee kenya very well organized.. Yaani majirani wandugu akina.. MK254 Mnastahili sifa na kuigwa...mama ngina drive..
Jamanii huko hamtaki Shemeji MBongo ?!!?!!!? mutustaarabishe walau.....Wenyeji wanapaita Mambasa raha, yaani kuingia harusi japo usitegemee kutoka. Patamu sana pale...
Basi nami nakuja mkuu.Wenyeji wanapaita Mambasa raha, yaani kuingia harusi japo usitegemee kutoka. Patamu sana pale...
Jisemee mwenyewe labda wengine hawana mpango wa kustaarabikaJamanii huko hamtaki Shemeji MBongo ?!!?!!!? mutustaarabishe walau.....
Nimecheka sana...Jisemee mwenyewe labda wengine hawana mpango wa kustaarabika
Safi bongo live at least umetupa picha ya huko though zote za town .. big up
Utakua umechelewa wewe maana Wabongo wa kutokea Tanga na Pwani ya Tanzania wanapapenda sana.Jamanii huko hamtaki Shemeji MBongo ?!!?!!!? mutustaarabishe walau.....
Mkuu kuna shida sana tz sijui nani kaloga hakyananiNimecheka sana...
Mkuu sijapata pm kutoka kwakoBasi nami nakuja mkuu.
Niliku pm kitambo hukunijibu mk254
Nimekutumia mkuu naomba ucheki...pmMkuu sijapata pm kutoka kwako