Jamani Jennifer Hudson..abadilika miezi saba tu..........weight watcher..............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
jennifer-hudson-before-after-photos1.png
 
Picha ya Ms Hudson ya mwezi Septemba 2009 anaonekana hana furaha kabisa........................ikimaanisha uzito ulimpunguzia kujiamini ukilinganisha na picha yake ya Aprili 2010.......kama miezi saba baadaye.............tusichojua ni madawa gani aliyotumia kupunguza uzito........na madhara yake ya muda mfupi na mrefu..................But she now looks happier than ever before.....................................

Jibu lipo kwenye kitabu cha Biblia takatifu kitabu cha DEUTORONOMY 25 :15 "You shall have a perfect and just weight, a perfect and just measure, that your days may be lengthened in the land which the Lord your God is giving you."
 
What is that strict diet.....................

Ziko tofauti na yeye si wa kwanza kukonda katika kipindi kifupi

Hii hapa imefanya kazi kwa mtu wangu wa karibu

Early morning one liter of warm water with a bit of lemon then walking for 30 minutes or other type of exercise

Normal lunch

A small portion of dinner made of veggies
 
ziko tofauti na yeye si wa kwanza kukonda katika kipindi kifupi

hii hapa imefanya kazi kwa mtu wangu wa karibu

early morning one liter of warm water with a bit of lemon then walking for 30 minutes or other type of exercise

normal lunch

a small portion of dinner made of veggies

mi nilishawahi fanya diet three weeks nakula fruits na cabbage soup bila carbs w nilipungua ajabu.
 
Nearly two years ago Jennifer Hudson Mother and Brother were tragically murdered.....

Don't Care who you are this will have massive effect in your life.
 
what is that strict diet.....................

inategemea mtu na mtu. Kama unataka matokeo ya haraka kula fruits na vegies tu kwa three weeks,then three days unafast,then three days juice na nyama ya kuchemsha au samaki.
 
inategemea mtu na mtu. Kama unataka matokeo ya haraka kula fruits na vegies tu kwa three weeks,then three days unafast,then three days juice na nyama ya kuchemsha au samaki.

Hii yako ni ngumu mno kwa kweli

Diet ambayo haiumizi ni ya 'kula ukiwa na njaa sana tu, na hapo ukila kisiwe chakula cha kukithiri'

With that kind of diet hutanenepa maishani
 
Ziko tofauti na yeye si wa kwanza kukonda katika kipindi kifupi

Hii hapa imefanya kazi kwa mtu wangu wa karibu

Early morning one liter of warm water with a bit of lemon then walking for 30 minutes or other type of exercise

Normal lunch

A small portion of dinner made of veggies

The key word is moderation................................................
 
mie nakulaa kila kitu,na sinenepi wala nini,niko kama nilivyo kwani mnakulaje mpaka vyakula vinawanenepesha
 
hii yako ni ngumu mno kwa kweli

diet ambayo haiumizi ni ya 'kula ukiwa na njaa sana tu, na hapo ukila kisiwe chakula cha kukithiri'

with that kind of diet hutanenepa maishani

ni ngumu ila ukitaka kuloose more than 10kg fasta ina faa sana.
 
She looks great!

Hasizidishe zaidi ya hapo manake saa nyingine wanapitiliza.Alafu naona anatumika kwenye tangazo la weight watchers,najua ni poa kwake kutengeneza hela lakini nadhani saa nyingine ni vizuri wakaongea ukweli kwa fans wao na kuwapa moyo kwamba mazoezi na kula vizuri ni tosha kuliko kuwafanya waone bila kupitia bidhaa za weight watchers hawato punguza uzito kama wao.
 
inategemea mtu na mtu. Kama unataka matokeo ya haraka kula fruits na vegies tu kwa three weeks,then three days unafast,then three days juice na nyama ya kuchemsha au samaki.

fruits n veggies ni nzuri kama mtu mvumilivu na bila kusahau mazoezi ni muhimu sana kwa siku.

kitu kingine ni kula kiwango kidogo mara tano kwa siku kila baada masaa 3.asubuhi cereal inatosha ,saa nne ukapata matunda saa saba mboga za majani na nyama kidogo, saa kumi salad na saa moja .kunywa maji mengi na mazoezi lisaa limoja kwa siku au nusu saa inategemea na mda wako kutembea kukimbia poa.kiwango kiwe kidogo.

kula kwa mtindo huo inasaidia sana kuzidisha metabolism yako.unapokaa kwa mda mrefu bila kula mwili unakuwa unajaribu kuhifadhi chakula katika mfumo wa mafuta, kwani unaona mwili haupati chakula cha kutosha na ndio hapo mtu unakuta unanenepa kutokana na mafuta ynayohifadhiwa mwilini.
 
Picha ya Ms Hudson ya mwezi Septemba 2009 anaonekana hana furaha kabisa........................ikimaanisha uzito ulimpunguzia kujiamini ukilinganisha na picha yake ya Aprili 2010.......kama miezi saba baadaye.............tusichojua ni madawa gani aliyotumia kupunguza uzito........na madhara yake ya muda mfupi na mrefu..................But she now looks happier than ever before.....................................

Jibu lipo kwenye kitabu cha Biblia takatifu kitabu cha DEUTORONOMY 25 :15 "You shall have a perfect and just weight, a perfect and just measure, that your days may be lengthened in the land which the Lord your God is giving you."

Nifafanulie hilo andiko linahusiana nini na weight loss.Ikiwezekana liweke kwa kiswahili..Ubarikiwe na Bwana.
 
Tunatofautiana jamani, mimi alivyokuwa mwanzo ndio mwanamke anayenivutia(asizidi hapo),kakitambi ka kike kwa mbaaali. Mimi hawa mamisi Tanzania kwa kweli hawanipi aski kabisa. Napenda kubonya nyama ila isiwe nyama uzembe sana.
 
Back
Top Bottom