Jamani.. Jamani, serikali imeanza kutumia RANGE ROVER VOGUE kama STK..!?

Jamani.. Jamani, serikali imeanza kutumia RANGE ROVER VOGUE kama STK..!?

liko moja anatembelea Jaji Kiongozi
ila wanadai ni used, sina hakika kama ni used
Jingine ni la Boss wa TISS, na la CDF. Hayo mawili ni custom made!.

Vogue ni gari ya kawaida sana!. Wabunge 5 wanazitumia wawapo pale Bungeni. Kuna wabunge wawili wanatumia Hammer mmoja wao akiwa over 50 hivyo hilo Hammer linamchukiza!. Wakuu wa Taasisi za Umma watatu wanatumia Vogue ya TDI!. Ikulu wanatumia X5!.

Ukilinganisha bei. zile "Kilimo Kwanza" ni bei hiyo hiyo ya Vogue!. Naombeni tusiisakame serikali yetu kwa kununua vitu vizuri kwa sababu uwezo tunao!.

Kwa vile JK ni rais tuu kama alivyo Obama, anapaswa kutumia na gari kama ile ya Obama!, tena ile Gulf Stream tumzawadie JK astaafu nayo, rais ajaye tumnunulie Airforce One TZ!.
"Ukikipata kitumie!" "Ukikikosa kijutie!".
Pasco
 
Pasco unamaaanisha au umetumia lugha ya mkato?
kwa umaskini wetu tunahitaji kweli hayo magari ya kifahari?
kipaumbele kwanini kisiwe kutimiza ahadi za chama tawala?
 
Tujiulize zile Benz 60 walizonunua kipindi cha mkutano wa sadc zikiwa 60 brand nwe ziko wapi , hapo ndo utajua hii serikali ilivyojaa majambazi.
 
Serikali inayoongozwa na Ridhiwani unategemea nini?

Hii inatokea nchi ya kusadikika ya bongo peke yake;ambapo wananchi wanampigia kura kumchagua baba mtu ,halafu mwanae kilaza ndiye anayeongoza serikali ya baba yake!!
 
Tanzania hakuna maajabu ni kawaida tu!! Si tumezoea kuongea sana lakini implementation ni tofauti!!! Walisema magari haya luxury kama V8 Landcuiser na mengine ununuzi wake ni mpaka kibali maalum!! Mbona yapo STL wakati hayo yalitamkwa over 3 years ago!! Msitusumbie na maneno mengi.
 
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..

Hii sio mada. Kama huna cha kuandika kaa kimya. Hayo ma STK mbona yapo mjini kibao tu. Wewe umeingia lini hapa DAR??? Eti nipo kwenye daladala nimekutana na STK!!! Ukiona msafara wa JK ulivyosheheni BMW za nguvu si utapata kichaa!! Kama huna cha kuandika soma michango ya wenzako.

aisee we ndo unaziona leo mbona hapa posta tunapishana nazo daily ila.kumbukuka kuna watu wanazo zao binafsi wanaomba namba za serikal baada ya hapo wanazitoa siku wakiwa waanastaf

haaaa!!!! na mm ka-Corolla kangu naomba namba ya seriakali STL
 
Pasco unamaaanisha au umetumia lugha ya mkato?
kwa umaskini wetu tunahitaji kweli hayo magari ya kifahari?
kipaumbele kwanini kisiwe kutimiza ahadi za chama tawala?
Mkuu Lokissa, si you cut your coat according to your cloth?, na kujikuna mpaka unapofikia?!, kwani sisi ni nchi masikini?!, dhahabu, almasi na madini yote?!, bahari, maziwa, mito, vjito na mifereji yote?!. Milima, mabonde, misitu, wanyama na maliasili kibao!?, Udongo wenye rutuba na watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora!, vyote tunavyo!, tuna umasikini gani?!, hizo vogue waendeshe nani?. Nitashauri baada ya kuvuna gesi asilia na kuchimba mafuta, tubadili flight katoka Benz tende kwenye cardiac na DMC, town taxis ziwe ferrari!.

Issue ya priorities za huduma za afya, elimu, na kuondoa umasikini kwa kuleta mwendeleo sio dili kabisa!, deli ni kutanua tuu!, kama ilivyo kupiga trips na Seville Suits!. Kupanga ni kuchagua, sisi tumechagua vogue!. Na wewe panga vyako, chagua vyako!.

Pasco
 
Pasco unamaaanisha au umetumia lugha ya mkato?
kwa umaskini wetu tunahitaji kweli hayo magari ya kifahari?
kipaumbele kwanini kisiwe kutimiza ahadi za chama tawala?

Wewe nayaita "magari ya kifahari", watumiaji wa magari hayo wanayaita "magari ya kazi."

Lokissa usubiri kidogo, hayo magari imekusudiwa apatiwe kila mwananchi lake."Bwana maendeleo" alishatuahidi maisha bora kwa kila mdanganyika.
 
Nonda kwa wengine hata uwezo wa kumiliki baiskeli hatuna
huduma za msingi tumekosa kabisa ukiumwa wewe ni bye byeee
wahisani wenyewe wanatushangaa sana kwanini tunajitakia umaskini
kama alivosema pasco pipaumbele cha serikali yetu ni kutanua kwa kwenda mbela
labda wameshajua life is too short kwako
Wewe nayaita "magari ya kifahari", watumiaji wa magari hayo wanayaita "magari ya kazi."

Lokissa usubiri kidogo, hayo magari imekusudiwa apatiwe kila mwananchi lake."Bwana maendeleo" alishatuahidi maisha bora kwa kila mdanganyika.
 
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa kutumia barabara ya Alli Hassani Mwinyi, tumefika kwenye mataa pake kona ya kwenda Oyesterbay na nyingine kinondoni tulisimama kidogo, nimeona gari aina ya Range Rover Vogue ina plate namba za serikali STK ikitoka Oyesterbay inaelekea town. Jaman mpaka muda huu cjaamini kama kwel serikali imeanza kutumia aina hyo ya gari za bei mbaya kwa watumishi wake. Jaman kama kuna mwingine aliyeiona tena au mwenye kufahamu atuambie..

Hiyo kitu anatembelea JAJI KIONGOZI FAKHI JUNDU
 
Mbona Vogue sio hata expensive ivyo kama haya ma-Vx na Gx kwa kwel hali ye2 ya kiuchumi haiko stable kiasi cha watumishi wa Serikali kutumia magari ya kifahari kama hayo. Na izo Range Rover jaman ndo aaahhh..!! Wingi Mafuta inayotumia na bei ya spare zake nikiwaambia hapa mtapata presha bure.
 
Ukizungumza sana juu ya hilo, utaulizwa "Je, unataka viongozi wa serikali wapande punda?" na ukidadisi sana, kesho tutasikia umeng'olewa meno, kucha na macho! Hapa ndio Tanzania.
 
Kwa kweli nililiona barabarani nikasikitika sana, na kuijutia PAYE yangu.
 
Hii sio mada. Kama huna cha kuandika kaa kimya. Hayo ma STK mbona yapo mjini kibao tu. Wewe umeingia lini hapa DAR??? Eti nipo kwenye daladala nimekutana na STK!!! Ukiona msafara wa JK ulivyosheheni BMW za nguvu si utapata kichaa!! Kama huna cha kuandika soma michango ya wenzako.

Aisee...kumbe hii sio issue kwa wenzetu wa Dar? Ndio maana hata vuguvugu za mageuzi Dar huwa zinadoda kwa jinsi mlivyozoea kuona utumbo wa serikali na kuuzoea....
Badilika Mwanamalundi@ hata kama hayakuhusu...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom