I am sure hili gari ni la watu wa usalama kila siku around saa kumi na mbili na nusu asubuhi hutoka kwa wazee wa kung'oa kucha pale makumbusho na kuelekea oysterbay. Nimeiona mara kadhaa ikiwa na namba tofauti lakini dereve yule yule. Walivyo wapuuzi plate number mara nyingi wanaegesha tu juu ya nyingine labda uvivu wa kufungua funga na mtu mdadisi ataNotice tu kuwa siyo.. Kama namba sio STK huwa na B.. something sikumbuki vizuri.
Kweli na wao siku hizi wameishiwa mbinu, hasa m-gari huo si una-draw attention ya kila mtu? TISS imebaki mapambo na mbwembwe tu.