Jamani, hivi mwanamke mzuri ni yupi?

Jamani, hivi mwanamke mzuri ni yupi?

So nataman kujua ni kama vitu gan hivyo
Wewe kama mtu mzima unaona tofauti kabisa ya maji na maziwa

Tatizo lako, unachagua wanawake ambao sio type yako, type yako unawakimbia ukidhani sio
 
Mwanamke moyo pia matendo.hao wazuri utauza nyumba ya mzee wako asa wakiujua udhaifu wako.
 
Wewe kama mtu mzima unaona tofauti kabisa ya maji na maziwa

Tatizo lako, unachagua wanawake ambao sio type yako, type yako unawakimbia ukidhani sio
Sawa ntachukua hatua
 
Mwanamke moyo pia matendo.hao wazuri utauza nyumba ya mzee wako asa wakiujua udhaifu wako.
Aaanhaa lakin uzuri wamwamke hua ndo kitu cha kwanza ambacho wanaume Wengi tunaangalia vngne ndo vnafuataa
 
Ikiwa ni wa kanisani, soma Wimbo ulio bora kama sijakosea utamjua mwanamke mzuri ni yupi. Kama ni wa msikitini sifahamu pa kukuelekezea.
 
ni yule anaye jua kua alikuja duniani you uchi hana kitu na atarudi kwa muumba kama udongo.
 
Hilo swali litajibiwa na moyo na macho yako na vigezo vyako vya uzuri ulivyojiwekea
 
Kwanini na pata shida sana kujua hill swala lina niumiza coz kuna wanawake wazuri sana ambao wamekamlkaa sehemu kubwa ila tabia ndo tunashindana atudumu kwasababu ya tabia zao.But kuna mwanamke yan wa kawaida sana ata mimi simkubali lakini yeye ameniganda sana mimi nimemwambia sana simpend lakini hasikiii lakini huku mwenyewe nao wakubali ndo pasua vichwa that why nimeuliza hivi mwanamke mzuri ni yupi na mwenye sifa zipi. [emoji27] [emoji29]
Nimegundua tatizo sio wanawake bali ni wewe mwenyewe
 
Kwa ulimwengu huu tulionao...nadhani mwanamke mzuri ni yule asiyekuomba fedha......
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nalooo n jambo lkn unakuta ujampenda ila anakupnda yy sana

Nyakati za kupenda zilishapita bwana mdogo.....hizi ni nyakati kutimiza mahitaji ya kimwili tu.......
Ndio maana nyakati hizi viungo vya uzazi vimekuwa vyanzo vya fedha kwa wenye kuvitumia kwa dhumuni hilo.....,

OPEN YOUR EYES.....
 
[emoji15] ok nashukuru BT me sioni kama INA faida kwangu kufanya vivo kama moyo ujalidhia kua hivo natamani kuwa na wangu tupendane daima
 
[emoji15] ok nashukuru BT me sioni kama INA faida kwangu kufanya vivo kama moyo ujalidhia kua hivo natamani kuwa na wangu tupendane daima
Utampata tu siku moja lakini kumbuka kuwa huoi supermarket kwamba utapata kila kitu hapo
 
[emoji15] ok nashukuru BT me sioni kama INA faida kwangu kufanya vivo kama moyo ujalidhia kua hivo natamani kuwa na wangu tupendane daima

Sawa ndugu...kila la kheri kwenye safari yako ya mapenzi ya dhati.....
 
Back
Top Bottom