Jamani, hivi mwanamke mzuri ni yupi?

Jamani, hivi mwanamke mzuri ni yupi?

Kwanini na pata shida sana kujua hill swala lina niumiza coz kuna wanawake wazuri sana ambao wamekamlkaa sehemu kubwa ila tabia ndo tunashindana atudumu kwasababu ya tabia zao.But kuna mwanamke yan wa kawaida sana ata mimi simkubali lakini yeye ameniganda sana mimi nimemwambia sana simpend lakini hasikiii lakini huku mwenyewe nao wakubali ndo pasua vichwa that why nimeuliza hivi mwanamke mzuri ni yupi na mwenye sifa zipi. [emoji27] [emoji29]
Mwanamke mzuri ni yule atakayekupenda.
 
Wewe ulitamani mke wako awe na sifa zipi?
 
Mzurii wa sura(mvutoo) mwenye tabia nzuri kujalii familia yangu pamoja na wazaz wang
Sasa utajuaje mwenye tabia nzuri wakati hujawai kukaa nae,bado hujawa na familia unataka mtu mwenye kujali familia sasa utamjuaje, piga goti mwambie Mungu wako akamilishe ndoto yako
 
Mmh hapana shida ni kwamba nimewahi kua na wanawake kadhaa nakuwasoma tabia zao yaani wako kwa maslai yao wakiona auna ayo maslai bas wewe n kopo tu lakn kunamwingine yan ana mvuto kwangu hata kdgo lakn ana tabia nzur pia na vitu vingne lakn me simpendi kabisa na nikijitahidi bas ntashindwa tu
 
Kwanini na pata shida sana kujua hill swala lina niumiza coz kuna wanawake wazuri sana ambao wamekamlkaa sehemu kubwa ila tabia ndo tunashindana atudumu kwasababu ya tabia zao.But kuna mwanamke yan wa kawaida sana ata mimi simkubali lakini yeye ameniganda sana mimi nimemwambia sana simpend lakini hasikiii lakini huku mwenyewe nao wakubali ndo pasua vichwa that why nimeuliza hivi mwanamke mzuri ni yupi na mwenye sifa zipi. [emoji27] [emoji29]
uzuri wa mwanamke sio sura bali ni tabia njema na heshima hayo mengine ni mbwembwe tu
 
Mmh hapana shida ni kwamba nimewahi kua na wanawake kadhaa nakuwasoma tabia zao yaani wako kwa maslai yao wakiona auna ayo maslai bas wewe n kopo tu lakn kunamwingine yan ana mvuto kwangu hata kdgo lakn ana tabia nzur pia na vitu vingne lakn me simpendi kabisa na nikijitahidi bas ntashindwa tu
Mara nyingi mke na mume ili waweze kukaa pamojakuna wataalamu wanasema katika sifa tatu mfano wewe unaweza kuwa Giver,Perfectionist na Peace maker unazo wewe lakini ikatokea mke au mume yeye ni Giver na Perfectionist hiyo moja iliyo baki mnakuwa mna share, hii huwa hivi utaweza kukuta mtu anakunywa bia lakini ikifika saa 12 jioni anasema jamani mimi nachomoka naenda home wife ana kelele sana ujue wife wake hapendi hiyo tabia sasa anajizuia asimkwaze,au utasikia mwanamke anasema mume wangu apendi niwe na mashoga zangu ujue hapo amesha mshepu tayari na lazima ndoa itadumu sana,lakini wataalamu wanadai kama mnashepu tabia mbili na moja tu mnashare lazima ndoa ivunjike
 
uzuri au ubaya wa mtu upo machoni na moyoni mwako vile uonavyo na ukaamua
 
Mwanamke mzuri ni yule unampa hela, unampa hela na unampa helaaaaa...Nachojua uhusiano hela ila ndoa mapenzi
 
Kwanini na pata shida sana kujua hill swala lina niumiza coz kuna wanawake wazuri sana ambao wamekamlkaa sehemu kubwa ila tabia ndo tunashindana atudumu kwasababu ya tabia zao.But kuna mwanamke yan wa kawaida sana ata mimi simkubali lakini yeye ameniganda sana mimi nimemwambia sana simpend lakini hasikiii lakini huku mwenyewe nao wakubali ndo pasua vichwa that why nimeuliza hivi mwanamke mzuri ni yupi na mwenye sifa zipi. [emoji27] [emoji29]
Ukiwa naye unajisikia amani, faraja, furaha. Unaongea naye lolote, unapenda kumsikiliza/ kusikia akiongea n.k.
 
Mwanamke mzuri kwa sasa ni yule mwenye chura kubwa km wale wa snusex.
 
Lugha uliyotumia katika andiko lako hili ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri Mkuu. Unaandikaje kama mtoto wa darasa la sita? Jaribu kuwa makini.

Mwanamke mzuri ni yule anayejitolea kuwa na wewe bila kujali una hali gani Mkuu. Mfano, huna gari ana kupenda tu, huna hela bado anakuelewa kinouma na mengine mengi.
 
Kwanini na pata shida sana kujua hill swala lina niumiza coz kuna wanawake wazuri sana ambao wamekamlkaa sehemu kubwa ila tabia ndo tunashindana atudumu kwasababu ya tabia zao.But kuna mwanamke yan wa kawaida sana ata mimi simkubali lakini yeye ameniganda sana mimi nimemwambia sana simpend lakini hasikiii lakini huku mwenyewe nao wakubali ndo pasua vichwa that why nimeuliza hivi mwanamke mzuri ni yupi na mwenye sifa zipi. [emoji27] [emoji29]
Beauty are in the eyes of beholder
 
Back
Top Bottom