Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,841
Jiangalie wapi umetenga fungu kubwa kwa ajili ya entertainments.
Jiangalie wapi umetenga fungu kubwa kwa ajili ya entertainments.
Twakusaidia kukulelea mume we endelea kulea watoto nyumbani sasa why bajeti isikue kubwa kwangu!
Jiangalie wapi umetenga fungu kubwa kwa ajili ya entertainments.
na siku mi mkeo nikiyajua hayo ujue ninaanza.
mimi nimetenga sawa sawa kwa ajili ya entertainments_ila mambo ya muhim/kimaisha my wife ana share nzito sana
That is why I trust nobody; except my Lord....! And I believe that, Only fools may trust their partners....!Twakusaidia kukulelea mume we endelea kulea watoto nyumbani sasa why bajeti isikue kubwa kwangu!
mimi nimetenga sawa sawa kwa ajili ya entertainments_ila mambo ya muhim/kimaisha my wife ana share nzito sana
That is why I trust nobody; except my Lord....! And I believe that, Only fools may trust their partners....!
ameeeen.... Mi mwenyewe simwamini kabisa houseboy wangu
Heheeya!!.... nyamayao huyoooo anaogopa kuibiwa mume.
kazi ipo..........
Mkuu Bujibuji, hiyo heading yako imenifanya nianze kufikiria kwamba labda wewe ni member wa kabila la wazanaki kutoka mkoa wa Mara. Maana kwa hawa jamaa, akikufuma kwa hawara yake lazima akupige mshale, lakini kwa mai waifu wake unajipakulia bila wasi wasi!Jiangalie wapi umetenga fungu kubwa kwa ajili ya entertainments.
Bujibuji! Inaweza ikawa kweli mawazo yako. Nyumba ndogo ina gharama ya kufa mtu. Kwa ambaye hana namwomba asijaribu.