Jamani hawa majaji wako wapi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,742
2,000
Ninawaheshimu sana kwa kujua sheria na kutoa hukumu za haki kukiacha akina Lugakingira and team.
1. Catherine Oriyo
2. Mlay
 

Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
2,967
2,000
Kizazi cha majaji waliopo kwa sasa ni changamoto sana, sina uhakika sana ila kama hao uliowataja ni wastaafu kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukifuatilia trend za majaji utaona wale waliostaafu na kupewa nyazifa tena serikalini walikuwa na hukumu zilizowahi kuingia kwenye "Guinessbook" na wale waliong'ang'ania unyererenyerere tupo nao shamba huku na wengine walishatangulia kwa amani kabisa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom