Jamani eeeh huyu ananitega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani eeeh huyu ananitega

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Oct 26, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanangu mbuzimzee hakutegi bali unajitega kwa tamaa zako. Je wajua kama amepima au unaingia kichwa kichwa halafu baadaye ulie? Mie hapo sioni mtego wowote zaidi ya masaburi na nguo za kubana. Jamani si kila nyama ni ya kuliwa wengine si kuku bali kunguru. Mtaisha wengi.
   
 3. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  We Father of All, ni kweli,akili yangu iko radhi kufikiri bali moyo ni dhaifu, unaweza ukajikuta tayari ulishakula ukashushia na maji ndo unaanza kujiuliza hivi huyu nilokula ni kuku kweli au kunguru? lakini inakuwa too late, akili inakuja kupewa nafasi baadae wakati matakwa ya moyo yalishatekelezwa kipiindi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanangu Baba V endelea kuuendekeza moyo mie simo. Ila kuna vitu vingine hata ungekula vipi hutatosheka. Muhimu ni kujifunza kutosheka hata bila kula mwanangu.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma vema mkuu, nilikuwa najaribu kuweka wazi hali halisi ya vijana wa kileo
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,443
  Likes Received: 4,727
  Trophy Points: 280
  uko tayari kuvunja benki? angalia maeneo aliyopo.......atakua alienda na JK majuu
   
 7. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mkao wa respiresheni
   
 8. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mr. Old Goat, unatumiaga 0713....?
   
 9. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Na hapa vipi Mbuzi Mzee, mtego ju ya mtego, ila angalia huyo mlinzi atakumaliza:


  Mbya Mkali.jpg
   
 10. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bhaaaaaaas.......!
   
 11. C

  Concious Senior Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmhhh..hata mm kitu kimesimamaa hapa
  kajaaliwa
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,601
  Trophy Points: 280
  Hata kicheche hutega kuku kwa style kama hiyo hiyo...
   
 13. Gogo la choo

  Gogo la choo JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 714
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yeaahh..na hata chatu nayeye hutega mbwa kwa style kama hii..!!
   
 14. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Dah! Niki mpata bao nyingi sana cizizo pungua 6
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Ndio wanachoniudhi hawa watu,kila siku kutembea na mijibwa sasa ndo tutawasogeleaje..??
   
 16. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Nadhani kuna wadada inawabidi wapimwe akili zao,sidhani kama mtu na akili zake anaweza kupiga picha kama hii...
   
 17. h

  hans79 JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Usiku ukilala unamsikia kampumua ukimuuliza atakujibu alikuwa anakubeep.
   
 18. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,178
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  Bonge la tege, ndo maana hasimam sawa
   
 19. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huyu unatafuna hadi mifupa unateremshia na maji baridiiiii,hata ukifa sawa na nzi kufia juu ya kidonda
   
Loading...