Jamani huyu ndugu yetu yupo wapi?

Jamani huyu ndugu yetu yupo wapi?

Kijana wa Ifoza

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
1,217
Reaction score
2,389
1794152988900.png

Picha: Watanzania kwa Upendo walitoa kikombe chenye ujumbe "NIOE TESHA"

Mnamo Oktoba 2025, kiongozi mzalendo Kapteni John Charles Tesha alijitambulisha na kutoa video iliyosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Alifanya hivyo wakati wataalamu wa CCM katika medani za sinema wakiwa hawajamaliza kutengeneza script ya sinema ya Oktoba 29.

Katika video hiyo, Kapteni Tesha alizungumzia masuala mengi mazito ya kitaifa, ikiwemo viongozi na matukio ya nyuma. Alipinga vikali matumizi ya nguvu dhidi ya raia, akaonya askari dhidi ya kuwafyatulia risasi wananchi, na kuulizia masuala mbalimbali ya kisiasa.

Hata hivyo, kabla ya Uchaguzi Mkuu, alipotea kabisa na hajasikika tena. Je, na yeye amekuwa Nchimbiji na Polepoleji? Swali linabaki: Kulikoni? Na je, nawauliza wana-JF, huko Barracks kuna wazalendo wengine kama huyu?

1794153750878.png
 
Ila ukikosoa pesa unadharaulika sana

Inamaana wanaume wengine hamuwaoni sio?
 
Ila ukikosoa pesa unadharaulika sana

Inamaana wanaume wengine hamuwaoni sio?
Hapa kuna majibu yako yaliyoboreshwa vizuri ili yawe na mtiririko mzuri na hoja zenye nguvu, huku font ikiwa imebaki katika mtindo wa Italics kama ulivyoomba:
Hujaeleweka una maana gani kiongozi! Kama unamaanisha hao waliotengeneza hivyo vikombe na mito hawana akili, unakosea sana. Hakuna anayesema duniani hakuna wanaume wengine, ila jamii inamuona Tesha kama mwanaume shujaa aliyesimama kishujaa kusema ukweli.
Kumbuka hata kina Mauzinde na Anko T nao ni wanaume pia, lakini kila mmoja anaheshimika kwa kile anachosimamia. Suala hapa halihusiani kabisa na kukosa pesa au dharau, bali ni heshima kwa ujasiri alioonyesha.
 
Back
Top Bottom