Jamani, Dr. Ulimboka yuko wapi siku hizi?

Hata angeuawa kwa Makombora ya kutungulia Ndege bado ilikuwa ni adhabu ndogo! Mungu amlaani na amdhalilishe zaid ya alivyofanyiwa Mwanaharamu Mkubwa yule

Mhh Povu Vepee
 
yupo south Africa anandelea na kazi take ya udaktari. jk alimfanya kitu mbaya Hana hamu na tz
wewe ndio umejibu swali nashukuru nilikua nasubiri jibu

wengine hadithi nyingi though hazihusiki na lengo la mleta mada
 
Kwani yy alifanya kosa gani Kama ngomo ule ulifuata taratibu zote za mono... Unatakiwa kuilaumu serikali kwakushindwa kutimiza wajibu wake... Nasi kufuaraia mtu kuteswa vile

Eti nisifurahie Mtu kuteswa halafu nisisikitike Watu kufa kwa Mgomo!

Walijidai wanahitajika Swatziland na Rwanda watakapolipwa Malipo ya Juu zaid na Jk akawatakia kheri kwa wanaotaka kwenda kupata Mishahara mikubwa Nje ya Nchi kwa kuwa yeye hataongeza Mishahara jee Wangapi waliacha kazi na kwenda Nje kwny hiyo Mishahara mikubwa?
 
"tunapata serikali tunayostahili", that means tunapata inayolingana na fikra na mawazo yetu na ukomo wa kufikiri. Got ya lil bro... Kunywa balimi mbili hapo
 
Ni kweli mkuu, nilitaka niwajibu lakin kwa jibu hili sina cha kuongeza
 
Ungekuwa ulipoteza Ndg yako wa karibu kwny ule Mgomo usingeandika ulichoandika
Kila mgomo una faida na hasara zake, kuna watu wataumia na kuna watu watafaidika..madaktari wakigoma huduma zikaboreshwa huoni kama ni faida wagonjwa wengi watatibiwa vzr
 
Kila mgomo una faida na hasara zake, kuna watu wataumia na kuna watu watafaidika..madaktari wakigoma huduma zikaboreshwa huoni kama ni faida wagonjwa wengi watatibiwa vzr

Aliepoteza Ndugu yake Ana haki ya kulaani Mgomo ule kwa Nguvu zote kwa kuwa huduma bora zikiboreka ni kwa Wagonjwa wapya au Waliopo sio Waliokufa kwa kushindwa kusaidiwa kuwa watarejea ku enjoy,


Aliehitaji Operation ndogo tu ya Mguu mpaka ikapekea Akatwe Mguu nae asikitikie Mateso ya Ulimboka?
 
Sawa, lakini kwa nini unakuwa wa kwanza kumlaumu ulimboka na cyo serikali ambayo ilikuwa haitimizi madai yao yaliyopelekea mgomo?
Unafikiri kugoma cyo haki ya msingi kwa mfanyakazi anapoona maslahi yake yanaminywa?
 
Yuko south anakula bata pesa za serikali ya kikwete waliomteka
 
Kuna jamaa alikuwa akisimulia alivyoteswa ilikuwa hatari sana!Fikiria chupa ya bia inatumbukizwa nyuma!Korodani zinapigwa prize!Ni rahisi kuyasikia kwa wengine lakini yakikikukuta,ni bora ukutane na simba live,maana atakuua kwa muda mfupi bila mateso.Fikiria unaachwa lakini walishakumaliza uanaume,sijui sasa utakuwa mtawa?
 
Nilivyosikia alishatangulia mbele za haki aligongwa na gari maeneo ya ubungo mwaka jana kimya kimya haikutolewa gazetini
 
Nipo na ndo nimeanza kurevenge kama nilivyotoa demo hapo Ikwiriri Pwani ndo kwanza muvi linaanza malipo hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…