Centipede Jr
Senior Member
- May 13, 2017
- 158
- 215
Hata kitaa ni bonge la mkurugenzi naheshimika hadi Ethiopia mjini Tigris.

umetisha mkuu... wasalimie wana TigrisHata kitaa ni bonge la mkurugenzi naheshimika hadi Ethiopia mjini Tigris.

umetisha mkuu... wasalimie wana TigrisAgrobusiness au Agricultural Economics and Agribusiness? uCR kwangu siyo issue, hakuifanyi program kuwa ngumu au rahisi.Nimepiga Agrobusiness kitu matata tena bonge la CR sibabaishwi na UD wa DIT zote zion tu hizo.
ulidhani Mndebwado wee ,,Soma ww acha manenoYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Yani WaMkoa mnajuana aiseee kwa lugha zenusizani labda ungesema MUHAS
Mkuu,mm nilisoma Mwenge Catholic University (Mwecau),huo msuli wa hapo kwako ni cha mtoto...,jitahd tu uvumilie!Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Mwisho wa siku wote mnasajiriwa ERB wote kama maengineerUDSM kwa semester hazizidi module nane...Beng ni tofauti na BSc mkuu
Huko DIT wengi vilaza mkuu, sio wote but wengi vilaza wale wa kuunga unga elimu.acha kukariri unaijua DIT wewe au unaongea tu? hao wa UDSM wana nn cha ziada kuliko DIT acha kukariri kijana
alipata 4 anasoma bachelor au diploma ? acha unaaa wewe, udsm ni university DIT ni institute sawa na ilivyo CoetHuko DIT wengi vilaza mkuu, sio wote but wengi vilaza wale wa kuunga unga elimu.
Mtu alipata four advance anakwambia yupo DIT anasoma engineering
Hiyo sheria ipo mda mrefu lakini wakati wa Kondoro haikuwa activeWe kweli unaijua sheria mpya ya CA iliyoanza kutumika mwaka au unaongea tu..Eti imekua soft
Huko DIT wengi vilaza mkuu, sio wote but wengi vilaza wale wa kuunga unga elimu.
Mtu alipata four advance anakwambia yupo DIT anasoma engineering
Yote kwa yote SUA bonge la chuo. DIT na UDSM zion tu.....me ndo CR wa SUA bwana chuo chenye hadhi ya kimataifa.Agrobusiness au Agricultural Economics and Agribusiness? uCR kwangu siyo issue, hakuifanyi program kuwa ngumu au rahisi.
Mulize mkuu mana duh, kazidi uongouna uhakika unachokiongea? au sababu tu unasikia kwa mtu
Hapo ndo kunahatar unaweza kuzingua semester onesizani labda ungesema MUHAS
Hauko serious mkuu kama unaona DIT pagumu kuliko mtaani njoo huku uraiani uone misuli inavyokazwaYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Komaa bwana mdogo, hope utakua unasoma diploma in civil and building engineering, hiyo ni kawaida mbona!!!! wala haikua na haja ya kuja hapa kulialiaNi balaa bro,nina moduli 13 wakati wengine saba tu wanalialia...
Hakuna shule ngumu kama DIT,ukitusua hapo kwingineko mtelezo tuYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....