Love Nuru
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 768
- 1,198
Achana na mimi wewe....ninaheshimika kitaa ni mkurugenzi mwenye ofisi fulani hivi, nimeajiri graduates na ninatiririka kimiradimiradi hivi. Balozi za nchi zote hapa Tanganyika na Zanzibar zinanijua. Mradi wa ubalozini haukatizi. Me ndo CR mkuu product ya SUA....huniwezi wewe!sasa uCR wako unahusiana nini na mada!,je ungekuwa seminar leader si ungetembea km umepigwa ngumi ya mgongo.