soma soma dogo wenzako tumesoma kwenye system kama hii
A-----100-81
B------80--79
C------78--69
D------68--51
E-------50--41
F--------40-00
KILA SIKU UNGEKUWA UNALALAMA KUZITAFUTA HIZI ALAMA

Taasisi ya teknolojia inakuliza, ukipelekwa vyuo vikuu je?Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Nilianza mwaka wa Kwanza nna module 15... engineering isn't a joke at allNi balaa bro,nina moduli 13 wakati wengine saba tu wanalialia...
Mimi silii nasema ukweliSoma kijana acha kulia lia wewe
Pole sana kijana, yote yatapita tu hata sie wengine tumepita hapo hapo Dit...Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Pole sana kijana, yote yatapita tu hata sie wengine tumepita hapo hapo Dit...
Ninachosikitika kitu kimoja tu,unasoma elimu ngumu then soko la ajira wanataka ujitolee (intern)

Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
vipi ulivyochaguliwa hapo ulitamba kijijini kwenu kote. Sasa kwa taarifa yako hapo ndio kimetiwa greese ungeenda miaka kumi nyuma nadhani ungeacha chuo kimya kimyaMi mpaka leo sijui Chuo chenye Elimu nyepesi Tanzania!Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
mimi nilipangiwa eng fulani ud ilikua na module 13 kaka sasa sijui hizo nane umetoa wapi though huwa zinapungua kila mwakaUDSM kwa semester hazizidi module nane...Beng ni tofauti na BSc mkuu
sasa uCR wako unahusiana nini na mada!,je ungekuwa seminar leader si ungetembea km umepigwa ngumi ya mgongo.Chuo SUA bwana tena nilikuwa CR.....hakuna cha DIT wala UDSM wote wachumba tu.
tz chuo ni kimoja tu UDSM.HOME OF INTELLECTUALS.acha kukariri unaijua DIT wewe au unaongea tu? hao wa UDSM wana nn cha ziada kuliko DIT acha kukariri kijana
acha umayai wewe hakuna engineering collage nyanya... Must Dit atc kote ni moto ukitaka kasome zile coz zingine .....Yani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....