Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,595
- 2,717
Hii nimeipenda, yale yaliyoko kambini (kazini) hayawezi kukuelewa MkuuAcheni kuunga juhudi kihasara. Jamaa huyo hana uungwana. Taifa zima linalia hali ngumu ya maisha. Haya, waambie wenzako huko kambini. Muwe na JAMBO LENU tarehe 28/10/2020.