Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

Tatizo la hizi ID ni ngumu kujua kama wewe ni Muhusika kweli au ni Mpinzani tu.
 
Nimewiwa Kusema Haya
Askari Mleta Mada Hujachelewa Sijui Ulikuwa
JW,POLICE, PCCB,TISS, PRISON, FIRE ,IMMIGRATION

Waliochangia Thread Hii Ndiyo Utakaoishi Nao Kwa Amani Na Watakusaidia Sana Tena Kwa Mengi
Iwe Raha, Iwe Tabu. Kipindi Hiki Upo Camp
Ongea Na Askari Wengine Kuwajuza Wananchi
Wanavyokwazwa Na Mengi!!

Inasikitisha Sana,
Pccb Kwan ni jeshi nalo?
 
Nimewiwa Kusema Haya
Askari Mleta Mada Hujachelewa Sijui Ulikuwa
JW,POLICE, PCCB,TISS, PRISON, FIRE ,IMMIGRATION

Waliochangia Thread Hii Ndiyo Utakaoishi Nao Kwa Amani Na Watakusaidia Sana Tena Kwa Mengi
Iwe Raha, Iwe Tabu. Kipindi Hiki Upo Camp
Ongea Na Askari Wengine Kuwajuza Wananchi
Wanavyokwazwa Na Mengi!!

Inasikitisha Sana,
Upo sahihi mkuu ila kitu kinachoitwa Amri ndiyo chanzo cha yote hayo. Na si kila askari atashambulia raia kwa mapenzi yake binafsi japo wapo malimbukeni wanaopenda kukaa mahala pa starehe mkikwazana kidogo ukimbilia kukuuliza "UNAJUA MIMI NANI"?.

Ila kwa uhalisia AMRI isikie tu..
 
Maisha tunayo yaishi mtaani ni magumu sana, tuna muda tumestaafu NAULI ZETU za kurudi majumbani hatujapewa, Pensheni hatujalipwa, basi tupeni pensheni ya kila mwezi jamani tuna aibika na familia zetu huku mtaani hapafai, hatuna biashara, basi tupeni nauli turudi majumbani kwetu tuhangaike na Kilimo huko.

Kweli mtu ukae mwaka na zaidi mshahara ulikata siku nyingi tu baada ya kumaliza likizo ya pensheni, pensheni hutujapewa na nauli hatuja pewa tunaishije mfano.

Tuonee huruma jamani. kama mambo ya uchaguzi ndio pesa imetumika sana huko sisi hatuhusiki huko mtuonee huruma.
Nyie mnapigaga wananchi wakiandamana ayo ndo malipo yenu mlikua hamjui malipo ni apa apa dunuani✌️
 
Back
Top Bottom