Jamani acheni kujihusisha katika kutoa mimba

Jamani acheni kujihusisha katika kutoa mimba

Mnaua kiumbe kilichoanza uhai ndani ya mfuko huo ambapo ndipo haki yake ilipo.

Usitoe uhai kwa maana tu uliteleza

Usitoe uhai kwa sababu unajisikiaga raha ukiwa haujavaa kondomu.

ABORTION IS SATANIC
Halafu mtu anajitia unafiki eti msibani anasikitika ilhali yy ni muuaji kama wauaji wengine.
Ni sahihi kabisa: Utoaji mimba ni Ushetani mkubwa. Ni kosa chini ya Mbingu na mbele za Jamii. Kwa nini ukiue kiumbe hai hicho kilicho ndani mwilini mwako ilhali ni wewe mwenyewe huyo huyo kwa hiari yako uliruhusu na kuridhia nafasi kwa kiumbe hicho kiwepo ndani yako? Ni UKATILI wa hali ya juu sana ukizingatia kwamba mtoto-mimba hana uwezo wowote ule wa kujitetea.
 
Back
Top Bottom