JaMAN

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,043
21,517
Mimi napenda kuuliza ivi ukienda sehem wakakwambia upeleke birth certificate ina maana wanakua hawaamin kama ulizaliwa au?
 
Inategemea umetakiwa cheti cha kuzaliwa mahali gani, lakini baadhi ya matumizi yake ni:
1. kujua kama hudanganyi umri.
2. kazi nyengine au nafasi za masomo zina viwango wa umri wa mwombaji
3. kujua umezaliwa wapi, data muhimu kwa kuomba vitambulisho mbalimbali ikiwemo paspoti
4. kupata data sahihi kama vile sensa.
 
just kujua yafuatayo ya msingi:
1.kama ni raia wa nchi husika,
2. kuhakiki umri wako na ule ulioandika kwenye nyaraka zako kama CV, resume, etc
3. pia kupunguza udanganyifu usio wa lazima
 
Mimi napenda kuuliza ivi ukienda sehem wakakwambia upeleke birth certificate ina maana wanakua hawaamin kama ulizaliwa au?
Ebo! Na wakikutaka ulete vyeti vyako vya shule/vyuo wanataka kujua kama hukusoma? Hapana. Wanataka kujua kama elimu uliyojitambulisha nayo unayo kweli.
 
Back
Top Bottom