Jaman nimpate wapi mwaminifu?

Gobe Isiah

Member
Aug 12, 2011
12
1
Jaman wana jf nina tatizo moja kwamba kila msichana ninayeanzisha naye mahusiano ya kimapenz huwa hajatulia na mpaka sasa nina miaka 23 nahitaji mchumba wa kufumga naye ndoa je nifanyeje?
 
Mh, kijana kwa umri huo umepitia mahusiano mangapi? maana mwanaume kwa umri huo bado kabisaaaa, maybe angalia unakosea wapi? jiulize kwa nini wanakuacha?
 
Ukichunguza kuku huwezi kumla.....

Halafu at 23 umeshakuwa pessimistic hivyo?
Ukifika 45 utakuwaje?
 
Dogo anza kuwa mwaminifu wewe halafu mwenzi wako akishtukia wewe ni mwaminifu mtatulia. Kwa taarifa yako miaka ya sasa hivi kupata wa kwako peke yako ni ngumu sana, km huu usemi unavyosema kila ukutapo nyumba nzuri lzm ujue kuna mpangaji, so ukitafuta demu ukimpata lzm kwanza ujue kuna mtu pale! usijidanganye kabsaa kwamba uko peke yako, kuwa peke yako inachukua muda sana mpaka mwenzi wako aone kweli upo commited naye na hii hutokea labda 3 months before wedding! ambapo anaona sasa mh! hapa issue iko mezani nikifumwa naharibu mwelekeo wangu. ukweli unauma lkn ndivyo mapenzi yalivyo dogo kwa miaka ya sasa hivi ambapo maisha yanategemea sana pesa zaidi!
 
Duh! kweli hi kiboko, thre month before wedding? dunia imeharibika
 
Kaaazi kweli kweli!!!

Hivi kuku anapata shida kuwatafuta na kuwaona/kuwapata kuku wenzake?

Ila kama kuku anawatafuta bata basi hapo inaweza kuwa ngoma nzito!!
 
Dogo anza kuwa mwaminifu wewe halafu mwenzi wako akishtukia wewe ni mwaminifu mtatulia. Kwa taarifa yako miaka ya sasa hivi kupata wa kwako peke yako ni ngumu sana, km huu usemi unavyosema kila ukutapo nyumba nzuri lzm ujue kuna mpangaji, so ukitafuta demu ukimpata lzm kwanza ujue kuna mtu pale! usijidanganye kabsaa kwamba uko peke yako, kuwa peke yako inachukua muda sana mpaka mwenzi wako aone kweli upo commited naye na hii hutokea labda 3 months before wedding! ambapo anaona sasa mh! hapa issue iko mezani nikifumwa naharibu mwelekeo wangu. ukweli unauma lkn ndivyo mapenzi yalivyo dogo kwa miaka ya sasa hivi ambapo maisha yanategemea sana pesa zaidi!

dah mkuu umevunja kila kitu.
Na kuna wengine mpaka after wedding bado watu wanakula tu huko nje.
Yani ukifikiria kwa sana unaweza usioe.
 
wewe mwenyewe ni muaminifu? anyway at 23? bado ni mdogo sanaaaa you have a looooooong way to go...
bado una mengi ya kupitia, mengi ya kujifunza
 
pole sana kaka. ila jua vitu vizuri havitaki haraka na tatizo lako sio kuwa wote uliyowahi kuwa nao hajatulia bali unachagua sana na kaa tambua mjachagua nazi sana huchagua koloma.kaa chini tuliza akili mwombe MUNGU utampata aliyesahizi yako.pole
 
congratulation to your gfriends

wanakuacha koz ni watoto, bado hawajajua maana ya mapenzi.
Pia wanafanya hivyo koz walikuwa na mahusiano na mtoto mwenzao!
 
Mkuu umesema kweli
Maana katika age ya 23 ashajua kuwa hao sio waaminifu
Bado ana safari ndefu na inawezekana ndio kwanza yuko chuo hata hajajua maisha yakoje ashaanza kupanga kuwa na mshumba wa kuoa
 
No mkataba wowote kwa issue ya u_girlfriend/boyfriend coz hakuna jipya zaidi ya zinaa.. Umewahi funga ndoa afu ukaachwa kwa styl ka hizo?
 
Dah.. hata ubwabwa wa shingo haujakutoka.... watoto wa ckuizi bana!
 
Jaman wana jf nina tatizo moja kwamba kila msichana ninayeanzisha naye mahusiano ya kimapenz huwa hajatulia na mpaka sasa nina miaka 23 nahitaji mchumba wa kufumga naye ndoa je nifanyeje?
Duh....! Pole kwa kujaribu kuwahi maisha....! Lakini kutangulia sio kufika dogo....! Aidha, nisingependa nukufumbe macho then yakukute halafu ujinyonge....! Kwa mtazamo wa harakaraka, lakini usio rasmi, katika ndoa 100 zilizofungwa kihalali, ndoa 90 husalitiwa walau mara moja ndani ya miaka 5....! Ila swala ni je, aliyesalitiwa amejua? ......! Je, wewe ulipata kufunga ndoa kihalali? Au ni mahusiano tu? Kama ulishafunga, basi hivyo ndivyo mambo yanavyokuwa katika maisha, huenda na ya kwako imeangukia katika hizo 90....! Na kama bado, basi ujue huko uendako bado mziki mzito kuliko huo....! Nakushauri utulie, jitazame wewe mwenyewe, then get prepared enough....!
 
Jaman wana jf nina tatizo moja kwamba kila msichana ninayeanzisha naye mahusiano ya kimapenz huwa hajatulia na mpaka sasa nina miaka 23 nahitaji mchumba wa kufumga naye ndoa je nifanyeje?

Wewe ndo unamatatizo na hujatulia! Unataka tu uwapange wenzio wewe usipangwe? Mla huliwa.
 
Back
Top Bottom