Jaman nimpate wapi mwaminifu?

Du! unakasi ya hajabu. Umri wako bado sana nowdays. vimbinti unavyotembea navyo ni btn 18-20, so usitegemee wakawa serious na mahusiano. 23 yrs uwezi pata msichana serious labda kama utapenda awe mkubwa kwako. Unachofanya ni ngono tu so hacha kupiga kelele
 
Tena katika age ya 23 bado anaota kuwa na serious relationship ya kuja kusema na kufunga ndoa kabisa
Bado sana mdogo wangu jitahidi kama ni masomo umalize masomo yako na upate na kazi may be au uwe na msimamo wa maisha
 
Back
Top Bottom