Jaman natafuta field mwenzenu...

Neyjerry

Member
Jun 12, 2012
82
15
2Saidiane jaman kwa wale ambao maofic yao wanapokea watu wa field, mana binafc nimeangaika mpka.., na likizo ndo inaisha ivyo..
 
kma waweza chukua izo barua zko tuma mikoan kwny makampun tofaut achana na dar es salaam...
 
nakumbuka sisi wakati tunasoma chuo, mambo ya field yalikuwa yanafanywa na utawala sie ni kuripoti tuu! coz sidhani kama now mtu unaweza kwenda bungeni eti kuomba kufanya field, ila mimi nilifanya zote mbili pale! hongera sana kwa uongozi mzuri wa chuo chetu during that time naona siku hizi mambo yamebadilika mpaka mnajitafutia
 
kma waweza chukua izo barua zko tuma mikoan kwny makampun tofaut achana na dar es salaam...

nataman sana ku2ma mikoani ila ndugu zangu weng wapo vijijin, so nitakosa pakukaa, mbaya zaidi bodi ya mikopo hainitambui kwa lolote, ndo mana napenda nifanye apa apa dar
 
Tatizo lenu mnataka mkiwa field mlipwe ......na wengi wenu mnataka Dar tu....na kama likizo inaisha basi malizia likizo urudi chuo
 
nataman sana ku2ma mikoani ila ndugu zangu weng wapo vijijin, so nitakosa pakukaa, mbaya zaidi bodi ya mikopo hainitambui kwa lolote, ndo mana napenda nifanye apa apa dar

Jikaze wewe mbona mimi bodi hainitambui,na niwiki yangu ya 7 katika field.Na nipo mkoa ambao ndugu zangu hawapo kabisa(siyo hawapo karibu) na natarajia wiki ijayo nimalize.

Wacha kulalamika,na silipwi hata senti,The way unavolialia shida hata ukipewa kazi watatumia madhaifu yako.

Kwanza inaonekana hujazoea shida,endelea kutafuta field za karibu na ndugu zako. Hao ndugu kama wanakupenda hawajui kuna MPESA?TGOPESA?
Ushaniuzi kwanza,unataka useme wewe ndo wakwanza kusoma?
 
Tatizo lenu mnataka mkiwa field mlipwe ......na wengi wenu mnataka Dar tu....na kama likizo inaisha basi malizia likizo urudi chuo

sijasema lazima wanilipe mkubwa, nje ya dar cwez kutokana na izo sababu, ni heri nifanye dar coz ma family iko apa, tofaut na nikiwa mbalh, hv sielewek labda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom