Jaman natafuta field mwenzenu...

Bushbaby......nina mfano ulio hai wa mtu wa namna hii ya NeyJerry. Mimi simjui na yeye hanijui, yeye alikuwa na shida mbili..Ya kwanza alikuwa na uhitaji wa mume, na alieleza waziwazi, na kuna baadi ya watu walimponda sana lakini yeye hakujali na wala hakuwajibu vibaya

Shida yake ya pili ilijitokeza ilijitokeza baada ya kuwa muwazi kuwa anahitaji kubadilisha kazi aliyokuwa anafanya, by the time tunawasiliana naye kwa mara ya kwanza tena kwa email, mimi nilikuwa Tlokweng (Botwachache wenye uwelewa kma wako mkubwa, nashukuru umenielewa, hope unaweza kunisaidia ktk hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom